Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa wewe idler unatoa wapi nguvu ya kuongea hivyo 🤣🤣😳
Unataka tukusifia wewe ni kijakazi bora au sio, alafu unaniuliza natoa wap nguvu, mm niko final ya AFCON tafuta wenzako kina siera leon ambao hawafuzu maana uganda wenyewe sio level yenu, wamefika mbal
 
Yaani mpaka leo unawaza chan? how many times should we tell you that tournament hamna anaeitaka? Kwenu ilikua world cup because you have never had something like that before, BTW imefutwa i hope umepata news
🤣
Hamna anaeitaka wakati you welcomed it with open arms as organizers.
 
Unataka tukusifia wewe ni kijakazi bora au sio, alafu unaniuliza natoa wap nguvu, mm niko final ya AFCON tafuta wenzako kina siera leon ambao hawafuzu maana uganda wenyewe sio level yenu, wamefika mbal
Wewe shinda jf 24/7 kama ilivo kawaida yako
 
Huwa nashangaa how idle the guy is, people are sleeping lakini yeye anaongea pekee take hapa JF, ukiamka Asubuhi unakutana na pages 3 za comments za mtu moja pekee😂😂😂
 
Endelea kushangaa ivo ivo
 
Huwa nashangaa how idle the guy is, people are sleeping lakini yeye anaongea pekee take hapa JF, ukiamka Asubuhi unakutana na pages 3 za comments za mtu moja pekee😂😂😂
Let me remind you, last time i told you nkiamua kukaa ata mwaka mzima i can do so
 
Because you are staying with your parents and you don't have any responsibility. And you staying for a year inatuhusu na nini?
 
Majinga yanafanya show kuipongeza arsenal wakati hata iyo arsenal hawajui kama kuna nchi inaitwa Kenya. Sisi tunafanya sherehe za timu zetu 😂😂😂😂😂
Hehehe...ugua pole watchman
gfcrensnsxsx5xw5f8e8189ce185.jpg
 
Because you are staying with your parents and you don't have any responsibility. And you staying for a year inatuhusu na nini?
Acha maneno mengi go and work. I didnt get this freedom out of nowhere, alafu mm sio mpuuzi kama wewe, i have a family and i dont wish waishi kma unavoishi wewe, so just focus on how you will become usefull
 
Because you are staying with your parents and you don't have any responsibility. And you staying for a year inatuhusu na nini?
Btw we endelea kujipa kazi nzuri ya kufuatilia maisha ya watu. I will remind you that naweza nkakaa mwaka mzima if i wanted, sasa wewe endelea ivo ivo kufuatilia peoples life
 
Huwa nashangaa how idle the guy is, people are sleeping lakini yeye anaongea pekee take hapa JF, ukiamka Asubuhi unakutana na pages 3 za comments za mtu moja pekee😂😂😂
The guy has no responsibilities. A responsible person can't spend 20 hours of his time on a forum trolling. Hakuna page utakosa post yake.
 
Back
Top Bottom