Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,097
- 32,918
Haha hapa ni mwendo vipigo tunawaonea huruma wananchi wa mathare
kipigo au mauaji 🤣Haha hapa ni mwendo vipigo tu
kuna watu wamejenga training ground kule wajir makelele mengi
View: https://www.instagram.com/p/DY4nMYRs1s8/
we mzee, viwanja lazima viendelee kujengwa! bila viwanja AFCON tutakua tunaiskia tu kwa watu, apa tunatakiwa kufikisha viwanja 12 kwan ndo vigezo vya world cup na pia tayar nchi yetu inapeleka timu 4 CAF, na tunataka kuhost mashindano ya afrika yoteI hope hatutojenga tena viwanja baada ya huu hata kwa miaka 5 ijayo, such a wastage of money . Hizi hela zolitakiwa kwenda kwenye barabara . Vanity projects , stadium hazina revenue kubwa na impact kiuchumi kwa Tz ni ndogo
Good project tho but hii afcon imefanya Tz ispend almost 400mil usd kwenye maandalizi
Kwahio ukaamua kuokota news utuletee apa, kwhaio wameskip irizar sio
Mnuka mavi anaumia,anajikaza tujamaa kaona isiwe tab acha aongee itoke 🤣 meanwhile Teargass bado kakaza