Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 1,898
- 5,046
Dasilinga
Uwanja wa dodoma ndio huo tena. Yooo huu uwanja utakua na view nzuri kinoma noma. Cheki vitu hivyo. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DY6gM3jM-RN/?igsh=MWw5cTVmdGVwdTQ4cg==.
Ratiba yake ya ujemzi ni miaka miwili, utachelewa.huo uwanja ni wa backup
sema nlitamani uwe kwenye afcon because unafikika kirahisi, mfano Unaweza kucheki mechi pale Mkapa then Ukaswap chap 3 hrs mpaka dodoma na treniRatiba yake ya ujemzi ni miaka miwili, utachelewa.
Waache wapajenge kwanza.. kuna siku tuta host pekeetu haya mashindano.sema nlitamani uwe kwenye afcon because unafikika kirahisi, mfano Unaweza kucheki mechi pale Mkapa then Ukaswap chap 3 hrs mpaka dodoma na treni
Uganda washaweka bid ya peke yao AFCON, yaani viumbe tunawasaidia alafu wana mdomo sasa watakula jeuri yaoWaache wapajenge kwanza.. kuna siku tuta host pekeetu haya mashindano.
🤣🤣🤣 mlishaambiwa Football in Tanzania is light years ahead bado Teargass akabisha
View: https://x.com/stanley_kamakei/status/2060066002835030261?s=20
View: https://x.com/i/status/2060241295612826071 kunyan na wivu wao wanaumia mno,hapa tukiwaambia ya kuwa vitu vizuri vya TZ uwa vinawaumiza uwa wanakataa,kule x uwa wanasema ukweli