stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 38,124
- 37,733
mnatuchanganya sasa, mnaita ama hamtaki mwaiofhawaii ? Nyooshen maelezo mapema
View: https://x.com/OmilJr/status/2060059964316549397?s=20
Kwani wewe umekufa .? Haufaatilii huu uzi .? 🤣🤣🤣 au bado upo kwenye denial stage.?Even you know you cannot make a point without using AI, or did you forget Arusha stadium is in a bushView attachment 3596914
wanapenda hela na sifa hao kinoma, si unakumbuka mrusi yuleWakenya na ufukara wa kutokufikiri wanaleta janga kwao na kwetu pia kwa ahadi za kulambishwa pipi