stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,490
- 34,084
Kenyans are simply unable to buy ugali flour. Because the salary of a Kenyan is very low compared to a TanzanianPPP will never work well in a poor country like Tanzania where the population has low purchasing power. That’s why you have no such projects up to this day …
My advise is probably a JNIA airport hotel since air travelers have money. Wait till you toll that Kibaha expressway and you will realize how poor you are ..😆😆😆😆
Nyie washamba sana grid iko Dar sio huko mathare na kibera.Hata anajua grid ni nini kweli?
Sikuona haja ya kumjibu anayejifurahisha na kucheka mwenyewe. Simply nimemuacha na ushamba wake kichwani.Hizo siyo container. Acha ushamba. SGR ya Tanzania bado haijaanza kubeba container, hizo ni Loose Cargo Wagon
Lakini wana GDP kubwa na purchasing power kubwa 😁Kenyans are simply unable to buy ugali flour. Because the salary of a Kenyan is very low compared to a Tanzanian
Wangekuwa na purchasing power kubwa wasingekuwa anaandamana kwa kupanda kwa bei ya unga wa mahindi.Lakini wana GDP kubwa na purchasing power kubwa 😁
Ukifika Mwanza & Kigoma Kundustan sijui watabakia na Nchi gani maana tutateka zotesgr haijafika Mwanza!