Kaka nadhani Tanzania tumeamua ku hide mambo mengine ili kuhakikisha kuwa tunakuwa na strong inclusive Economy. Siku ikitokea tunafanya GDP rebasing kuna watu watalia sana. Just imagin Tanzania ikiingiza hiz transactions kwenye GDP:
- transaction fee,
- telecom commission,
- agent income,
- VAT,
- excise duty,
- fintech services,
GDP ya Tanzania itapaa sana. Lakini itasaidia nini kama tunakuwa na namba kubwa lakini maisha ni yaleyale?
Halafu kwakuwa GDP yetu ni ndogo tunapata Mikopo yaenye masharti nafuu, na wengine wanatuletea ruzuku.