Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,168
- 33,331
Nani hapendi maji hapa kama wewe chokoraa hii?😂😂👇👇View attachment 3594608
Sawa tajiri,nimekuelewa ila fanya umalize ugomvi wako na maji ,ili uwe unaoga maku ww 🖕
Nani hapendi maji hapa kama wewe chokoraa hii?😂😂👇👇View attachment 3594608
Sawa tajiri,nimekuelewa ila fanya umalize ugomvi wako na maji ,ili uwe unaoga maku ww 🖕
Mataifa yote yaliyo kwenye hizi finals ni mataifa ya Football hapa Africa.
Labda ustaarabu wa watu unatofautiana. Huko mbeleni itafaa zaidiCool, however I think we deserved some better brt stations design, hasa hapo city center . Vituo tumejenga 2014 ndio hivyo tunajenga leo tena CBD, kituo kinaonekana kama nyumba katikati ya Barabara.
See J’burg BRT Stops, Simple, Fancy and Beautiful
View attachment 3594612View attachment 3594613View attachment 3594614
View: https://x.com/TBoundBuses/status/2058790296595374325
CC: ChoiceVariable tutalala humu ndani kweli?
Kimya kimya...
View: https://youtu.be/MZOGWZm3-ls?si=ac_KakLKS0ZRZAix
View: https://youtu.be/PAxEdLOlNYY?si=2SB9nnTUc51hpMzQ
MY TAKE
Where Dangote refinery is soon to be soon located!
Ukija mjini toka mbeya tuletee maparachichiMtalala midomo wazi ila usingizi hampati.
Mbeya ni hot cake 🔥🔥
Hasira za nini subiri tumalizie kuingiza dawa.Who the fu.ck is Rodgers Adai?
Viwanja kama hivi vilijengwa na CCM since 1977Wajir County Stadium coming up nicely. We will have Stadiums like this in all the 47 Counties.
View attachment 3594705
Habari yako Nyamwezi?Mbn very local aisee, alafu kuna mnuka nya mwenzio bado anasema bakuli seats zinaondolewa, lkn huku tunaona mzigo wa haja wa bakuliz, ni kama uwanja mzima una bakuliz😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Those areas don't even account for 10% of Nairobi's land mass. Meanwhile Dar is a slum is an endless slum, kila mtu anjikatia kiwanja vile anataka na anajenga kile anataka, the most unplanned city in East Africa.Kwahiyo Kibera, mathare, Pipeline, Mukuru kwa Njenga wamejenga vizuri kama binadamu sio?
Unaongelea hizi ama kuna zingine?Viwanja kama hivi vilijengwa na CCM since 1977
Hata hiyo pipeline anataja has better planning. Grids everywhereThose areas don't even account for 10% of Nairobi's land mass. Meanwhile Dar is a slum is an endless slum, kila mtu anjikatia kiwanja vile anataka na anajenga kile anataka, the most unplanned city in East Africa.
Hata anajua grid ni nini kweli?Hata hiyo pipeline anataja has better planning. Grids everywhere