Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehehe yn Tz ya sasa kwenye michezo hatutaki masihara kabisa. Tumempiga Algeria huko 🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wale watoto ni balaa ,pressing walizokuwa wanazifanya ilikuwa balaaa.
Final itakuwa tz versus Morocco.
 
Build up ya vijana balaa Algeria iliwabidi wapaki basi.
Majina haya miaka mitatu minne ijayo itakuwa tishio Duniani.

1779647620648.png
 
Already ushaambiwa hizi lights ni low quality, ni nini tena unataka tungoje?😂😂👇👇

View attachment 3594474
View attachment 3594476
tatizo lako unapenda ubishi wa kipumbavu, wait for it zianze kuwashwa then tuonyeshe kama ni low quality, zenu tushaziona ni low quality kwahio acha kurefusha mada for something not proven, i dont have any expertise in that field so the only way is to judge zikiwa on, other than that acha kelele zisizo na msingi, BTW uganda and tanzania are seriously walking their way towards world cup competitions, wewe bado umebaki na stadiums
 
Bwana your lights are low quality 😂😂👇👇

1000279741.jpg
1000280560.jpg
 
Back
Top Bottom