Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatimaye Mamelodi Waiongoza Africa

1779681097849.png
 

Uzuri wa hiyo expressway yenu,mmiliki wake hata sasa hivi tukimuambia atujengee atajenga,ila kwa sasa TZ expressway si priority yetu,tunafocus na vitu ambavyo kila mwananchi vitamnufaisha kama BRT,bus terminals n.k,but expressway ya kulipia ambapo hapo naikundu kuna watu awaaford kuitumia,hapana kwa kweli,kwa mfano BRT imetoa ajira kwa zaidi ya watanzania 1000
 
Uzuri wa hiyo expressway yenu,mmiliki wake hata sasa hivi tukimuambia atujengee atajenga
Do you know what's called feasibility study? Mchina hawezi thubutu kujenga tolled road in vumbistan juu hamtalipa kuitumia. Nyinyi wote ni maskini.
 
Unacompare village streets with a main road. Your village streets are not paved, usijiaibishe. If at all you have streets ju nyinyi hujenga bila mpangilio kama panya.
Kwahiyo Kibera, mathare, Pipeline, Mukuru kwa Njenga wamejenga vizuri kama binadamu sio?
 
Back
Top Bottom