Actually kuna ndege 4
1. Gulf stream g700 hii mpya imenunuliwa last year
2 gulf stream g550 hii ilinunulia 2003 na bado ni young kwa ninavyoona
3. q400 hii imenunuliwa mwaka huu mwanzoni ili kupunguza over reliance kwa ndege za Air tanzania hasa regional trips , trips za mikoani na EA
4. Fokker 27 hii tunaonaga PM anaitumia sana
Mimi concern yangu ni G550 imepangiwa nini still inatumika , ina undergo Checks? au waipige mnada maana kwa private jet hasa ambaazo hazitumiki sana wanaweza pata hela nzuri wakipiga mnada ikapatikana hata hela ya vituo vya afya 😄
Plus G550 baado ziko sokoni na watu wengi mashuhuri wanazitumia hasa ma rais , option nzuri pia inaweza kui maintain ikawa part ya VIP transport pia