chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,673
- 45,901
15km from Dodoma CBD
15km from Mombasa CBD
15km from Mombasa CBD
The refinery will be either in Mombasa or Lamu.Unakichaa wewe hakuna investor ataweka facility karibu na Al Shabab never
View: https://x.com/i/status/2056985078807367748 ruto anajua kuangaika,anatembeza bakuli kila nchi!
Toka imezinduliwa sjaona any new dev pics na mda unaenda Uganda washaanzisha bond yao ya ujenzi wa SGRIle ilikuwa PR tuu hamna kitu hapo. Watu huwekeza kwenye viable projects sio hii garimoshi
Au labda you pay more to access meza 🤣Hizo meza hata karakana ya reli KRA wanaweza kuziongezea urefu ila tatizo hela baba😁
Nigeria tuna kisasi nao lazima waite maji mma this time.

Are you forgetting Kenya is supposed to have shares in Dangote's refinery? Those are the funds that Ruto is looking for. Najua kiingereza kimekupiga chenga hapo😂😂
Heri Jamaica, nyinyi mnakuja kuomba Kenya.View attachment 3591693
Maku nyie ni omba omba,mlienda kuomba hadi jamaica
Heri Jamaica, nyinyi mnakuja kuomba Kenya.
najua hawatajibu ngoja tuwasaidie maaana na wenyewe hawapo nyuma, best train in slums hii apaHii kitu inawauma sana wakenya:
View attachment 3591716
View attachment 3591717
View attachment 3591720