Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi ndizo gari zilizokuwa kwenye msafara wa Rio Ferdinand kutoka Airport Jana.
Bentley Continental GT (ya rangi ya bluu), Mercedes-Benz G-Class / G-Wagon (za rangi nyeusi na bluu), Toyota Land Cruiser (kama v8/LC300)

1779254990127.png


1779255034866.png



Aina ya GariMakadirio ya Bei (USD)Maelezo ya Ziada
Bentley Continental GT$310,000 – $450,000+Gari kuu la kifahari (Luxury Coupe) alilopanda Rio Ferdinand.
Mercedes-Benz G-Class (G-Wagon)$154,000 – $250,000+Yalionekana mawili (meusi na bluu) yakisindikiza msafara.
Toyota Land Cruiser 300 (V8/LC300)$90,000 – $162,000Magari ya doria na uongozi wa msafara (matoleo ya VX au GR Sport).
 
Actually kuna ndege 4
1. Gulf stream g700 hii mpya imenunuliwa last year
2 gulf stream g550 hii ilinunulia 2003 na bado ni young kwa ninavyoona
3. q400 hii imenunuliwa mwaka huu mwanzoni ili kupunguza over reliance kwa ndege za Air tanzania hasa regional trips , trips za mikoani na EA

4. Fokker 27 hii tunaonaga PM anaitumia sana

Mimi concern yangu ni G550 imepangiwa nini still inatumika , ina undergo Checks? au waipige mnada maana kwa private jet hasa ambaazo hazitumiki sana wanaweza pata hela nzuri wakipiga mnada ikapatikana hata hela ya vituo vya afya 😄

Plus G550 baado ziko sokoni na watu wengi mashuhuri wanazitumia hasa ma rais , option nzuri pia inaweza kui maintain ikawa part ya VIP transport pia
Fokker zilikuwa 2 moja kubwa na nyingine ndogo. G550 naona imeuzwa Marekani kama sikosei.


Tanzania retired and sold its Gulfstream G550 presidential jet after taking delivery of a brand-new Gulfstream G700 in late 2024. The 20-year-old G550 was ferried to Savannah, Georgia, in November 2024, reregistered in the United States in April 2025, and completely phased out of the Tanzanian VIP transport fleet.
 
Back
Top Bottom