Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shidako ni Ushamba na ndio maana hata kushika chupa ya soda hujui.

This is Mombasa with a 8 lane section.

View attachment 3590461
😂😂😂 haya sawa. Kwa hiyo ni 8 lanes road.? Hizo 8 lanes juu ya daraja la mita 50.? Sikia hakuna barabara ya 6 lanes Mombasa.. kimsingi kuna barabara moja tu yenye iko na 6 lanes in the whole of Kenya. And that is thika highway. Labda uje na story za 8 lanes in some section. Ila kwa hizo 50 meters za brigde nadhani ni vyema ukubali ukweli, hautakufa.
 
Shidako ni Ushamba

More of 8 lane roads in Mombasa

1779086895975.jpeg

1779086920816.jpeg
 
Kwahiyo kazi yako itakua ni kutafuta section za mita 5 kupost.? Haya sawa 😂😂😂 kenya yote ina barabara moja tu enye iko na 6 lanes. The rest ni 2 lanes na chache hapo nairobi zenye ni 4 lanes.
Hata Turkana has an 8 lane Road. Kama hufurahishwi unaezajinyonga vile huwa unanyonga chupa.

Turkana

1779087937170.jpeg
 
Hii sasa ndio maana ya railway kuingia port. Huko bongoslum railway imeishia kwa yard, wanasema imeingia port. 😂 😂 😂 Hizi ndio vitu zinafanya Dangote achague Mombasa over anywhere else.
Hebu tuonyeshe tuone, mana unazungumza vitu usivyovijua kwa kujiamini. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom