President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,448
- 93,824
Per your understanding who are Tanzanians? Wapo na sura gani kulingana na katiba na sheria za Tanzania?The funny part is that those are not Tanzanians.
Per your understanding who are Tanzanians? Wapo na sura gani kulingana na katiba na sheria za Tanzania?The funny part is that those are not Tanzanians.
Also tueleze mtanzania anakuwa mtanzania kwa kigezo gani?The funny part is that those are not Tanzanians.
Sasa unapinga nini na hata Uhuru mwenyewe akiwa President alisema kuweka picha ya Rais sio lazima. Wewe unapinga kama nani sasa? Kenya tunafwata Katiba, sio kama bongoslum.Soma nilichoandika vizuri kabla ya kukurupuka kutukana.
Sijasema Katiba ya Kenya ina kifungu kinachosema:
Every government office must display the President’s portrait.
Nilichosema ni kwamba suala hilo linaegemea kwenye:
Sheria na protocol vinafanya kazi pamoja kwenye public administration. Si kila kitu lazima kiandikwe sentence kwa sentence ndani ya Katiba ndipo kiwe official government practice.
- Constitution (mfano Article 131(1)(e) kumtambua Rais kama symbol of national unity),
- National Flag, Emblems and Names Act,
- Standing Orders,
- Circulars,
- Government administrative protocol.
Mfano:
hakuna kifungu cha Katiba ya Kenya kinachosema “portrait itundikwe ukutani”,
lakini bado serikali yenyewe husambaza official presidential portraits na public offices huzitundika kwa government protocol.
Ndiyo maana hata ukiondoa portrait kwenye public office inakuwa national controversy na suala la official conduct, si jambo la kawaida tu.
Na Tanzania pia ipo hivyo hivyo:
1. hakuna kifungu cha Katiba kinachosema lazima,
2. lakini government protocol na directives zinafanya public offices ziwe nazo.
Kwa hiyo point ilikuwa:
Kenya na Tanzania zote zina official state practice ya kuweka picha ya Rais kwenye ofisi za serikali, hata kama si “constitutional symbol” kama Flag au Anthem.
Sasa kama huwezi kutofautisha kati ya:
- constitutional national symbol,
- statutory framework,
- administrative protocol,
basi usikimbilie kuita watu mafala wakati discussion yenyewe ni ya legal administration.
Hata ukimdharau sisi tumemuheshimu kwa hilo. Sikiliza maelezo ya Waziri wa uchukuzi hapa.
View: https://www.instagram.com/reel/DYSgi0lMSqD/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
Sikiliza maelezo ya waziri mkuu hapa:
View: https://www.instagram.com/p/DYSaB9mtcHH/?hl=en
Brother uwe unafuatilia vitu details siyo kuchukulia juu juu na kuwatuhumu watu bila kuelewa details
Another win for Mombasa.
Ni kama hawa warabu wote wameamua kukimbia Tanzania. What's happening there kwani?
View: https://x.com/i/status/2054773699778097366
Nimekwambia tangu mwanzo kuwa Kenya hakuna explicit constitutional clause inayosema “kila office lazima iwe na picha ya Rais.” Hata serikali yenu ilishasema private citizens hawalazimishwi.Sasa unapinga nini na hata Uhuru mwenyewe akiwa President alisema kuweka picha ya Rais sio lazima. Wewe unapinga kama nani sasa? Kenya tunafwata Katiba, sio kama bongoslum.
The kind of investment that are being injected in Mombasa are insane.Dongo kundu is unstoppable.
Hakuna mtanzania mweupe.Per your understanding who are Tanzanians? Wapo na sura gani kulingana na katiba na sheria za Tanzania?
Ndio maana ninakuambia unatakiwa ufuatilie mjadala mzima. Kabla ya hapo kuna dada mbunge wa serengeti alitoa taarifa kutokana na maelezo ya Mbunge wa Sengerema Tabasamu kuhusu kuweka bajeti ndogo Uwanja wa Mwanza. Huyo Dada alipinga ujenzi wa uwanja wa mwanza. Ndipo baada ya hapo mzungumzaji aliyefuata alikuwa MsukumaHahitaji kuponda uwanja wa Serengeti ambao ni muhimu zaidi kuondoa threat ya ule wa Narok unaojengwa!
Kutokana na nini? We rejected and opposed this racism from the time of apartheid in South Africa.Hakuna mtanzania mweupe.
Hakuna mtanzania mweupe. All those investors coming to Kenya are Arabs that are tired with your dictatorship government.Kutokana na nini? We rejected and opposed this racism from the time of apartheid in South Africa.
Katiba yetu ya Tanzania inakataza ubaguzi wa rangi au hali ya mtu.
Mtu hatambuliki kuwa mtanzania kwa rangi yake.
Hata hivyo unakosa kujua dunia. Ulaya majority ni white lakini wapo watu weusi na mpaka wengine ni viongozi wa juu huko.
Kwa mfano Kemi Badenoch is the Leader of the Conservative Party
View attachment 3588491
Huo ubaguzi kikabila utawamaliza wakenya.
Wasukuma ni wabinafsi halafu wabadhirifu mnalazimishia kuhudumia Serengeti NP wakati haipo Mwanza ipo mkoa wa Mara! Kuna wakati Msukuma alitaka Mwanza airport iitwe Serengeti. ATI Serengeti international airport haina manufaa! Tangu lini Msukuma anajihusisha na utalii? Kila kitu mnataka nyie! Ndio maana Samia alimuweka jamaa yenu kuwa Deputy PM kama chambo! Mtueleze fedha ya jengo lile ambalo halijakamilika ilienda wapi?Ndio maana ninakuambia unatakiwa ufuatilie mjadala mzima. Kabla ya hapo kuna dada mbunge wa serengeti alitoa taarifa kutokana na maelezo ya Mbunge wa Sengerema Tabasamu kuhusu kuweka bajeti ndogo Uwanja wa Mwanza. Huyo Dada alipinga ujenzi wa uwanja wa mwanza. Ndipo baada ya hapo mzungumzaji aliyefuata alikuwa Msukuma
Hata hivyo Waziri mkuu baadaye alikuja kulifafanua. Na Kesho ijumaa atakaa na wabunge wa Kanda ya ziwa kuondoa utata huu. Vilevile Waziri mkuu alieleza kuwa Uwanja wa Serengeti ni PPP bali uwanja wa Mwanza ni Serikali 100%.
Na mimi naona hapo wala hakuna shida yoyote. Ungesikiliza mjadala mzima usingeweza kumlaumu msukuma.
Kwamujibu wa kitu gani kinakuambia hakuna Mtanzania mweupe? So Kemi Badenoch is not a British because is Black?Hakuna mtanzania mweupe. All those investors coming to Kenya are Arabs that are tired with your dictatorship government.
Hasira zote hizi ni kwasababu ya Msukuma kutaka Uwanja wa Ndege wa Mwanza ukamilike? Hakuna sehemu Msukuma alipinga Ujenzi wa uwanja wa serengeti. Nadhani hizi hapa ni Chuki zako binafsi, siwezi kujadili kutokana na personal issue. kama mpo na ugomvi na msukuma tafutaneni mmalize ugomvi wenu.Wasukuma ni wabinafsi halafu wabafhirifu mnalazimishia kuhudumia Serengeti NP wakati haipo Mwanza ipo mkoa wa Mara! Kuna wakati Msukuma alitaka Mwanza airport iitwe Serengeti. ATI Serengeti international airport haina manufaa! Tangu lini Msukuma anajihusisha na utalii? Kila kitu mnataka nyie! Ndio maana Samia alimuweka jamaa yenu kuwa Deputy PM kama chambo! Mturleze fedha ya jengo lile ambalo halijakamilika ilienda wapi?
Hasira yangu ni kwa vile anakandia uwanja wa Serengeti! Amekosa uzalendo! Apiganie uwanja wa Mwanza kivyake! Na asilazimishe Serengeti NP ihudumiwe na uwanja wa Mwanza! Hebu tuambieni kama mna uwezo huo, vyanzo vyenu vya utalii vina-perform Vp?Hasira zote hizi ni kwasababu ya Msukuma kutaka Uwanja wa Ndege wa Mwanza ukamilike? Hakuna sehemu Msukuma alipinga Ujenzi wa uwanja wa serengeti. Nadhani hizi hapa ni Chuki zako binafsi, siwezi kujadili kutokana na personal issue. kama mpo na ugomvi na msukuma tafutaneni mmalize ugomvi wenu.
Halafu siyo Msukuma pekee aliyeongelea hilo. Nimekueleza aliyeanza ni Tabasamu Mbunge wa Sengerema.
Sisi wakazi wa Mwanza tunataka Uwanja wa Maana wa Ndege na vilevile tunataka uwanja ndani ya Serengeti, vyote vifanyike
NB: Hii ajenda ilishatolewa ufafanuzi na hakuna utata tena
Wewe ni burukenge tu. Hopping here and there like a frogUkweli wa Katiba yenu huu hapa
Baada ya machafuko ya 2007/2008, Wakenya waliamini kuwa kila kabila likiwa na "ulaji" (bajeti) wake katika eneo lake (County), vurugu za kugombea kiti cha Rais Nairobi zitapungua.
Brother nimekueleza fuatilia mjadala mzima. Hii ilitokana na mbunge wa Serengeti kuongea kwa jazba wakati anamjibu Tabasamu Mbunge wa Sengerema. Na mbona naona hakuna shida yoyote.Hasira yangu ni kwa vile anakandia uwanja wa Serengeti! Amekosa uzalendo! Apiganie uwanja wa Mwanza kivyake! Na asilazimishe Serengeti NP ihudumiwe na uwanja wa Mwanza! Hebu tuambieni kama mna uwezo huo, vyanzo vyenu vya utalii vina-perform Vp?
Mimi kuanzia jana na leo nipo hapa kutoa elimu tu. Nitakufundisha hata kama hutaki mpaka ujinga utoke kichwani mwako.Wewe ni burukenge tu. Hopping here and there like a frog