Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,037
- 107,533
View: https://x.com/AsakyGRN/status/2054800469482946651
MY TAKE
Wale jamaa wa kushindana na Tanga port wako wapi?
View: https://x.com/Seid101/status/2054838732339994725
Uchumi umekuwa na shida hawana jinsi lazima waachie. Sasa atakuja Bakhressa kumaliza kazi huko Azam Tv ni launch pad tuu.🤣 🤣 🤣 🤣 Tumewabinya mpaka Protective regulations zenu mnaziacha. Mpaka Shishi Food atakuja kufungua Company hapo Kenya.
Ndio kama tulivyokuwa tunasema tutaanza kuwauzia ugali badala ya mahindi na unga
It is customary for both countries to have presidential portraits in public offices, not bound by law.Nimekwambia tangu mwanzo kuwa Kenya hakuna explicit constitutional clause inayosema “kila office lazima iwe na picha ya Rais.” Hata serikali yenu ilishasema private citizens hawalazimishwi.
Lakini unachokataa kuelewa ni tofauti kati ya:
Ndiyo maana practically ukienda:
- wananchi binafsi,
na- government offices/public service protocol.
Kwa nini ipo kama si sehemu ya government administrative practice na protocol?
- ministries,
- county offices,
- police stations,
- public schools,
- serikali institutions Kenya,
unakuta official portrait ya Rais ipo.
Na hiyo statement ya Uhuru ilihusu wananchi na biashara binafsi kutolazimishwa. Haikufuta government protocol ya public offices kutumia official presidential portrait.
Tanzania na Kenya zote zinafanana hapa:
Difference ni kwamba wewe umechukulia discussion kama emotions za kisiasa badala ya public administration na constitutional practice.
- hakuna Katiba inayosema portrait ni national symbol kama flag,
- lakini serikali zote mbili zina official state practice ya kuweka picha ya Rais kwenye public offices.
Mwekezaji anajenga kwa hela yake hapangiwi😁kule wameweka viti bila kusakafia! Ni vumbi tupu!
Kwahiyo hata SA hakuna msauzi white sio au hakuna black American ndio unataka kusema hivyo we bumunda?Hakuna mtanzania mweupe. All those investors coming to Kenya are Arabs that are tired with your dictatorship government.
Pale Ukunduni wanam-block Total energies CEO!
View: https://www.instagram.com/reel/DYTs6knKwbe/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
Uwanja unakimbia kwa speed ya 5G. 🔥🔥🔥Bado jirani hajamaliza kufunga viti? Tulikuwa tukiwaambia hapa work progress iko 70% ila wao wakajifanya ni ma engineers na kubisha.
Aawapii...Bado jirani hajamaliza kufunga viti? Tulikuwa tukiwaambia hapa work progress iko 70% ila wao wakajifanya ni ma engineers na kubisha.