babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,424
- 36,028
Huwa wanapeana shift kuonesha ujinga wao.Ukweli wa Katiba yenu huu hapa
Baada ya machafuko ya 2007/2008, Wakenya waliamini kuwa kila kabila likiwa na "ulaji" (bajeti) wake katika eneo lake (County), vurugu za kugombea kiti cha Rais Nairobi zitapungua.
Hivi kama kitu hawakijui si wapige kimya wasichangie chochote!