Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Whatever. About 2000 UN employees are shifting from New York to Nairobi, unajua boost Nairobi itapata kwa real estate na service industries? Ikiwa explosion ya Nairobi saa hii inawashtua na je hapo mbeleni?
Bongolalas wako na wivu mbaya … it’s only right if it’s for them … that’s why they will keep reading our number from behind ….
 
Nyinyi kwenu wahindi wakimiliki industries zote hamfaidiki lakini si bado mnafurahia?
Wahindi hawajengi bali ngozi nyeusi ndo zenye majengo, wahindi mpaka leo wamepanga ?
Haya tuambie muhindi mwenye investment yoyote ya majengo Tanzania Yale makubwa.
Hivi unajua 10 companies zinazolipa tax vizuri zinamilikiwa na ngozi nyesusi
 
Do you comprehend English ?… I never claimed it, one of you did … you got the issue upside down…😆😆
Screenshot_20260513-012258~2.jpg

Ndo maana nilikuambia wewe ni mjinga , hiki nani aliandika sio weye ,
Au English kwako ni kuandika matusi
Nincompoop
You could have provided the evidence
 
Sasa nani kati Mimi nawewe ni mjinga, UN office haiwezi kuwa na economic benefit kwa common mwananchi zaidi ya mateso tu, gharama ya rent itapanda na wakodishaji sio nyinyi bali wasomali tu , kuongezeka kwa misafara na mambo ila kwa sababu nyinyi ni wajinga mtafurahia .
Hivi experts anayekuwa exempted kwenye income tax anafaida gani kwenu🤣🤣🤣
You know why multinationals choose Nairobi as their African headquarteres as opposed to Addis Ababa ( administrative headquarters of Africa). It’s that UN body in Gigiri Nairobi. Watch how many more are coming or relocating out of other places like South Africa.
 
View attachment 3587838
Ndo maana nilikuambia wewe ni mjinga , hiki nani aliandika sio weye ,
Au English kwako ni kuandika matusi
Nincompoop
You could have provided the evidence
I asked a question. You could have simply said it’s not you and move on but you wanna dwell on a trivial matter just coz you are upset about the Dangote situation…🤣🤣🤣🤣
 
I asked a question. You could have simply said it’s not you and move on but you wanna dwell on a trivial matter just coz you are upset about the Dangote situation…🤣🤣🤣🤣
Ndo maana nikatanguliza we always ni mpumbavu na sio mara moja nakuabisha🤣🤣🤣🤣
Hujauliza swali mwehu wewe, yaan tuumizwe na dangote project ya 12bil wakati kuna project ya 42bil usd. Kweli nyinyi ni wehu.
 
I asked a question. You could have simply said it’s not you and move on but you wanna dwell on a trivial matter just coz you are upset about the Dangote situation…🤣🤣🤣🤣
Baada ya kukuabisha umeruka 🤣🤣🤣🤣.
Ukiwa na argue na Mimi jitahidi usidanganye ntakuabisha vibaya mno, this is third time
 
You know why multinationals choose Nairobi as their African headquarteres as opposed to Addis Ababa ( administrative headquarters of Africa). It’s that UN body in Gigiri Nairobi. Watch how many more are coming or relocating out of other places like South Africa.
Nilijua una akili ya kufikiri critically. Multinationals kuwa Nairobi ni incentives za inayopata Kenya kwa kuwa western puppet.
South Africa under white, sasa hivi wanawapunish kwa kile kinaitwa "white genocide".
 
So why do you invite them to come to your country or you wanna be puppets also ?…
 
Baada ya kukuabisha umeruka 🤣🤣🤣🤣.
Ukiwa na argue na Mimi jitahidi usidanganye ntakuabisha vibaya mno, this is third time
You can hop and skip your way outta situation but the fact remains someone on your side once claimed Hata Arusha ina headquarter ya UN office. That was a counter to Nairobi. Those are the facts … whether it was you or not is irrelevant in this case …I thought you are a CCM patriot .. come on !.. take one for the team 🤪🤪
 
So why do you invite them to come to your country or you wanna be puppets also ?…
You can't be serious!
What you get are just offices.
Sisi tunapokea $billions and billions of dollars investments, from gas, coal, chuma, helium, uranious, nickel, refinery the list ni ndefu sana
 
Kwani changamwe refinery ilikua inarefine maziwa, eti Mombasa haina berths za oil tankers. 😂 😂 😂 Wewe ni pumbavu Unadhani Dangote akisema Mombasa ina better infrastracture alikua pumbavu kama wewe primary school dropout.
Kwa hiyo hapo changamwe mna kitu kama hiki?
Dangote-Refinery_2-1024x831.jpg
 
You can't be serious!
What you get are just offices.
Sisi tunapokea $billions and billions of dollars investments, from gas, coal, chuma, helium, uranious, nickel, refinery the list ni ndefu sana
You can’t be serious either… with your so called billions and billions of dollar investment, why are you still behind Kenya in development index, why are you still stuck in LDC status ?…
 
You can't be serious!
What you get are just offices.
Sisi tunapokea $billions and billions of dollars investments, from gas, coal, chuma, helium, uranious, nickel, refinery the list ni ndefu sana
Billions you say, but you're still a least developed country! Alafu unaita wengine wajinga
 
Viongozi 11 pekee wa Kiafrica waliohudhuria Summit ya France-Kenya Nairobi. Huu ni ushuhuda tosha kuwa Kenya haina ushawishi. Mmeshindwa hata kushawishi nchi za EAC only Kagame ndiye aliyekuwepo hapo. Maana ya hii ipo tendion baina ya nchi hizi na tunaiona sasa kwa uwazi.

CountryLeader
KenyaPresident William Ruto (Host)
FrancePresident Emmanuel Macron (Co-host)
NigeriaPresident Bola Ahmed Tinubu
RwandaPresident Paul Kagame
SenegalPresident Bassirou Diomaye Faye
Côte d'IvoirePresident Alassane Ouattara
GabonPresident Brice Oligui Nguema
Sierra LeonePresident Julius Maada Bio
LiberiaPresident Joseph Boakai
MauritiusPrime Minister Navinchandra Ramgoolam
MoroccoPrime Minister Aziz Akhannouch
ZambiaPresident Hakainde Hichilema
BotswanaPresident Duma Boko

Halafu viongozi wale ni wale nchi zao zinasumbuana na majirani
 
Back
Top Bottom