Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni goli gani nimehamisha kijana wa Tandale? I only mentioned ILO headquarters ambayo ipo Geneva. Did I mention regional offices anywhere here

Sasa nani kahamisha goli?
Tunacheza ligi so wako ligi ndogo ndogo ….why is this even a discussion?…😆😆
 
Kwa hivyo unataka kujifanya huoni Samia Suluhu all over the place. Hakuna hata choo wanaweza jenga hapo Arusha without consulting the National Government, huoni hata wameweka picha ya kupenda mama wakati wako kwa assembly seating, clearly showing they work under her. 😂 😂 😂 In fact kesho Suluhu anaweza amka na aseme hizo miradi zote zisimamishwe na zitasimamishwa.
samia how? idiot? Those projects r financed from city council internal revenues! Just like counties government in Ukunduni! I even showed u council representatives that r voted by the people! U have MCAs in the place of council representatives!
 
Hawa wakenya uwezo wao wa kufikiri mdogo sijui kwasababu ya ukosefu wa chakula!!
 
samia how? idiot? Those projects r financed from city council internal revenues! Just like counties government in Ukunduni! I even showed u council representatives that r voted by the people! U have MCAs in the place of council representatives!
MCA'S work under the Governor not the president, usiwe mjinga. Hao wenu wanafanya projects on behalf of the National Government under an act of parliament, ndio maana nimekuambia kesho Suluhu anaweza amka na aseme hizo miradi zote zisimamishwe. In Kenya devolved factions are enshrined in the constitution.
 
councilors works under Mayors! So r u trying to mean governors Ukunduni r equal to the President?
 
Viongozi 11 pekee wa Kiafrica waliohudhuria Summit ya France-Kenya Nairobi. Huu ni ushuhuda tosha kuwa Kenya haina ushawishi. Mmeshindwa hata kushawishi nchi za EAC only Kagame ndiye aliyekuwepo hapo. Maana ya hii ipo tendion baina ya nchi hizi na tunaiona sasa kwa uwazi.

CountryLeader
KenyaPresident William Ruto (Host)
FrancePresident Emmanuel Macron (Co-host)
NigeriaPresident Bola Ahmed Tinubu
RwandaPresident Paul Kagame
SenegalPresident Bassirou Diomaye Faye
Côte d'IvoirePresident Alassane Ouattara
GabonPresident Brice Oligui Nguema
Sierra LeonePresident Julius Maada Bio
LiberiaPresident Joseph Boakai
MauritiusPrime Minister Navinchandra Ramgoolam
MoroccoPrime Minister Aziz Akhannouch
ZambiaPresident Hakainde Hichilema
BotswanaPresident Duma Boko

Halafu viongozi wale ni wale nchi zao zinasumbuana na majirani
Tyari hapo sioni Sisi wa Egypt na PM wa Ethiopia so list yako umetoa kwa matako yako
 
MCA works under Mayors! So r u trying to mean governors Ukunduni r equal to the President?
Si unaona ulivyo pumbavu. A Mayor is not elected by the people, huyo ni kama county speaker tu. A governor is not equal to a president but they perform duties similar to a president in their respective County Governments.
 
Who told tou mayor not elected by people? Who ndio ujinga unakusumbua.

Kenyan mayor siyo sawa na Tanzanian mayor. Tatizo lako umepumbazwa na mawazo ya kenya. Ondoa ujinga kwanza ujifunze. Tanzanian mayor ni sawa na Gavana huko Kenya.

Mayor anachaguliwa among of Diwani katika council husika. Diwani wanachaguliwa na watu.

So hujaelewa nini sasa hapo?
Tanzanian devolution is called D by D is more advanced than Kenya, Kenyan devolution is only political not Administration.

Ndio maana tukikupatia maelezo huelewi.
Nyie kenya mmesogeza siasa karibu na wananchi
But in Tanzania tumesogeza siasa na huduma karibu na wananchi.
 
Si unaona ulivyo pumbavu. A Mayor is not elected by the people, huyo ni kama county speaker tu. A governor is not equal to a president but they perform duties similar to a president in their respective County Governments.
Idiot a mayor is elected by the people! unaturingia county government Ukunduni na hamna cha maana walichofanya tangu devolution! Peleka majitambo Ukunduni!
 
Idiot a mayor is elected by the people! unaturingia county government Ukunduni na hamna cha maana walichofanya tangu devolution! Peleka majitambo Ukunduni!
Sindano imeingia vilivyo. 😂 😂 😂 Which people? na wewe huwezi chagua Mayor.
 
Hili jambo tunalizungumza tangu jana wenzetu wakenya hawataki kujifunza sijui ni ujinga au kukosa elimu. Ngoja nijaribu kueleza kitu hapa na wengine watajifunza

Baraza la Madiwani vs. County Assembly​

Ni kweli, Baraza la Madiwani Tanzania linafanya kazi inayofanana na County Assembly ya Kenya (kutunga sheria ndogo ndogo, kupitisha bajeti ya eneo husika, na kuisimamia serikali).
  • Tofauti: Kenya, County Assembly ina nguvu kubwa zaidi ya kisheria (Legislative power) ambapo wanaweza hata kumwondoa madarakani (impeach) Gavana. Tanzania, Baraza la Madiwani linaweza kumkataa Mkurugenzi (DED), lakini hawana uamzi wa mwisho wa kumuondoa

Mapato ya Ndani (Own Source Revenue - OSR)​

Hapa ndipo Tanzania ina uimara mkubwa.
  • Tanzania: Halmashauri zina vyanzo vingi vya mapato (kama ushuru wa mazao, leseni za biashara, kodi ya majengo, nk). Kupitia mifumo kama LGRCIS, Halmashauri zina uwezo wa kukusanya na kutumia sehemu ya mapato hayo kwa miradi ya maendeleo ya ndani (asilimia 40% ya mapato ya ndani yanatakiwa kwenda kwenye miradi).
  • Kenya: Kaunti nazo zinakusanya mapato (OSR), lakini Kaunti nyingi nchini Kenya zimekuwa zikitegemea zaidi ya 80% ya fedha kutoka Serikali Kuu (National Treasury). Uwezo wa Halmashauri za Tanzania kujitegemea kimapato katika ngazi ya wilaya mara nyingi unaonekana kuwa na mizizi mirefu zaidi.

Uwezo wa Kijiji/Mtaa Kukusanya Mapato​

Huu ni upekee wa kipekee wa Tanzania ambao Kenya haina:
  • Tanzania: Sheria ya Serikali za Mitaa inatambua Kijiji kama chombo cha kisheria (Legal Entity). Kijiji kinaweza kuwa na akaunti ya benki, kinaweza kuingia mikataba, na kinaweza kukusanya mapato (mfano: ushuru wa minada, faini, au asilimia kutoka kwa wawekezaji wa ardhi).
  • Kenya: Ngazi ya chini kabisa ya kiserikali yenye mamlaka ya kifedha ni Kaunti (County). Hakuna "Village Government" yenye mamlaka ya kisheria ya kukusanya kodi au kuwa na bajeti inayojitegemea kama ilivyo Tanzania.
 
Back
Top Bottom