Umekula kweli?This List consists only of LDC countries 😂😂🤣
Umesahamu kuweka International
Safaricom Owned by Vodafone
When it comes to infrastructure, hakuna port ina expand faster than Mombasa in this region. Bongoslum wamefikisha railway kwa yard next to the port wakasema SGR imeingia bandarini. 😂 😂 😂
View: https://x.com/KillaLando/status/2054085282203361309?s=20
Hata affordable housing scheme yao ni hovyo unplanned and very riskyZero in planning pia, si unaona SGR yao walivyo plan na saivi wanahangaika kuirenovate
Develop kwako na sisi tu develop kwetu kelele ya nini?Kipevu alone can dock 4 tanker ships at ago. Dangote sio mjinga kusema Mombasa has better infrastructure.
Dangote anajua huu mzigo unafika DRC kweli? Burundi na Rwanda? Kwenye soko la watu zaidi ya million 60?
View: https://x.com/i/status/2053927444697002390
Let's assume this is true. Sasa don't you believe that Ruto and Kenya in general ndio kusema ukanda huu?Kawa Winga wa Dangote.
Ndio maana alimwalika Museven, na kaja TZ kushawishi.
Na Dangote kasema anamsikiliza yeye, maana yake anategema majibu kutoka kwake, kama BLOCK lote limekubali.