stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,442
- 34,080
Amekazana na unknown tournaments kweli kweli😂😂🤣AFCON under 17?…. Bro!.. nobody cares except you . The World Cup about to begin …. Do you even know that???
While you are still in planning stage ,construction of the largest hospital in Africa is ongoing ( not in Nairobi but Eldoret )
Kenya is really positioning itself in the world stage.
View: https://x.com/i/status/2053807539603513749
Hajasurrender.Yani the guy has surrendered every decision in the hands of Ruto. Sasa ngojeni muone vile Ruto ataruka watanzania na Tanga Yao😂😂🤣
Dangote anajua huu mzigo unafika DRC kweli? Burundi na Rwanda? Kwenye soko la watu zaidi ya million 60?Hizi zote ni hasira za Dangote 🤣🤣🤣🤣
Nawahurumia 😂😂
Mr Kimbelembele anatumia summits kujifanya middleman refinery imekuwa winning card!Hajasurrender.
Da gote alitafutwa na Ruto.
Dangote needs the whole block.
Anategemea Ruto ndio ashawishi kweny whole block.
Na Ruto ndio aliyependekeza Tanga, kwasababu kwanza anajua kabisa TZ, UG na allies tunaweza kujenga REFINERY bila Kemya na automatic Kenya atakuwa sidelined.
Poa, Anajaribu kuonesha kuwa akasaidia kuleta mwkeezaji, Dangote ili tumoe gesi kwemda Mombasa.
Dangote hawezi kujenga refinery ya FITNA.
Na Kenya ikijenga kwa FITNA hatununui. Bora tununue Angola
Kawa Winga wa Dangote.Mr Kimbelembele anatumia summits kujifanya middleman refinery imekuwa winning card!
Nope, tofauti yetu na ninyi hii hapa!Si watanzania mnapenda domo domo
The reality on the ground does not favor Mombasa over Tanga!Kawa Winga wa Dangote.
Ndio maana alimwalika Museven, na kaja TZ kushawishi.
Na Dangote kasema anamsikiliza yeye, maana yake anategema majibu kutoka kwake, kama BLOCK lote limekubali.