Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo assets na bado hata kufund simple stadium like Talanta mpaka mtapeliwe 10 times na mchina! 😢
Talanta Stadium is a bond. Najua hujui hiyo yet unataka kuilinganisha Kenya na Tanzania in terms of financial knowledge 😂😂.

Have you even ever invested in any government bond?🤣🤣😂
 
Wanafikiri oil tankers ni kama container ships 😂😂 hata Dangote akichagua Kenya, meli za mafuta hazotadock kwenye port berths kama wanavyodhani
Kipevu alone can dock 4 tanker ships at ago. Dangote sio mjinga kusema Mombasa has better infrastructure.
 
Kisumu airport.

1000269136.jpg
 
Hapo ndipo Dangote anakosea sikiliza speech ya Museveni leo! Utaona kuna kitu kimemfanya aiongelee Tanzania highly!
Dangote naona focus yake siyo mafuta ya Uganda. Atakuwa ana-import hiyo crude oil popote.

Anachotaka ni soko la Afrika Mashariki, kumlinda na kumdhamini achukue hiyo pesa
 
Back
Top Bottom