Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 30,843
- 33,118
Jamaa ameona anakuwa assumed with the other account akaamua akuje na ingine tena😂😂Wacha kuwaste time yako na huyo fala with his 2 stupid accounts.
Jamaa ameona anakuwa assumed with the other account akaamua akuje na ingine tena😂😂Wacha kuwaste time yako na huyo fala with his 2 stupid accounts.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Leo umeme umekatika?Testing one, two.
View attachment 3587229
Wooow!!!… don’t even look like a place in Africa… very impressive.. Syokimau will continue to surprise usSyokimau is forming a very decent skyline right in front of JKIA.
View attachment 3587198
Geza Ulole We mzee hio building with a crane hapo nyuma ya emirates cargo center ni Marriott Airport Hotel, The 3rd hotel inside JKIA, ndani ya JNIA hata lodging hakuna ju vile airport imebanwa na slums pande zote and has no room for expansion. 😂 😂 😂
View attachment 3587201
Hizi zote ni hasira za Dangote 🤣🤣🤣🤣Hiyo venue tu ipo kama banda la bata bukini 😅 Kenya ipo nyuma kwenye kila kitu na bado Bomas mpya wanayojenga technically ni kama josho la kufumigate cattle
You joke too much … 😆😆
Mnapenda sana chat. Nimeshakuwekea sharti langu. Leta Hospital kama hii ya Serikali toka Kenya yote acha manenoYou joke too much … 😆😆
Macron anataka kuwazaba wakenya vibao live, Ruto kakodi watu wa kupiga makofi muda wote akidhani ni kind of good welcoming gesture according to the bush Kunyaland mentality and whites bootlicking culture! 😢
View: https://x.com/i/status/2053835409554038956
4000 beds is mind blowing. This will be the largest hospital in the southern hemisphere and 5th largest in the world. Definitely the largest in Africa and outside Asia. Damn hope they pull this off. Enyewe middle income tunaingia very soon walai.
View: https://x.com/MTRHofficial/status/2047763148829061414?s=20
Very Organized. Hebu tuoneshe takataka za Nairobi tuzibe pua