Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,643
- 34,266
You go explain tire😂😂🤣😂Hajasurrender.
Dangote alitafutwa na Ruto.
Dangote needs the whole block.
Anategemea Ruto ndio ashawishi kweny whole block.
Na Ruto ndio aliyependekeza Tanga, kwasababu kwanza anajua kabisa TZ, UG na allies tunaweza kujenga REFINERY bila Kenya na automatic Kenya atakuwa sidelined.
Pia, Anajaribu kuonesha kuwa anasaidia kuleta mwekezaji, Dangote ili tumpe gesi kwenda Mombasa.
Dangote hawezi kujenga refinery ya FITNA.
Na Kenya ikijenga kwa FITNA hatununui. Bora tununue Angola