President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,527
- 94,010
Macron anataka kuwazaba wakenya vibao live, Ruto kakodi watu wa kupiga makofi muda wote akidhani ni kind of good welcoming gesture according to the bush Kunyaland mentality and whites bootlicking culture! 😢
View: https://x.com/i/status/2053835409554038956
Tanzania hawezi akaongea ujinga huo. Kwanza tu anakutana na watu wanafanya vitu kwa utaratibu, kuongea vitu ovyo ovyo anaona aibu mwenyewe. Sasa Macron anawatukana kama tupo kwake. Shame on you Kenyans