Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado wana maumivu ya kukosa Bomba la UG.. so wanatafuta namna yoyote ya ku force kufaidi.

Hapo Dangote akijenga Tanga ndio Kasongo aseme alikubali iwe hivyo umuhimu wake uonekane... Hapo ni kwamba Dangote akija ni mazungumzo Yana anza upya na terms mpya... Kama hataki arudi mombasa tu .

Na ile ishu ya gesi nadhani Haina haja ya kuiharakisha sana kuipeleka msa... Ila kama wanataka sana bhas ifanyike feasibility kwa gharama zao na ujenzi ifanyike kwa gharama zao.. TZ iwasaidie ku secure ardhi tu ya Bomba kupita na security. Haina haja ya kuweka pesa nyingi hapo wakati kuna maeneo mengine ya nchi yamahitaji gesi kama Liganga huko... Na pia kuna miradi mingi ya ndani ya kwetu kuliko kufinance Bomba hilo ambalo returns yake Haina multiplier effect kwenye uchumi wetu wa ndani
Nakuambia ndani ya muda mfupi Dangote mwenyewe atakuja TZ na Dalali Ruto atakuja tena haipiti miezi miwili mark my words.
 
Nyinyi mko mta stage . Moi University in Eldoret is building the largest hospital in Africa ( ongoing) na hata haiko Nairobi…so take your photo and raise it to the power of 10 .. (and still won’t even be close in size of new MTRH )..
Ukituonesha Hospital kama hii kutoka kenya nafunga account yangu

1778515066148.png
 
Ile siku mama anamuumbua ruto ilikuaje akatangaza yy kuhusu refinery kujengwa tanga pasipo kumshirikisha,naamini mama alishalijadili na mu7,yan ruto anataka kujifanya kama ile ni idea yake ikiwa TZ kama nchi tayari plan ya refinery ilikuwepo,binafsi napenda sana dangote kama ni kweli aendelee na huko msa au la kama Tanga basi ajenge pasipo kuwashirikisha kunyan,otherwise tutafute mwekezaji mwingine atakayejenga refinery pasipo uwepo wa kunyan
Baada ya bomba la mafuta ya Uganda kupita Tanzania Kenya alikataa kuchukua alloted share yake kwenye refinery ya Uganda kwa kuzira kila mmoja alipewa 15% share UG, TZ, KE ila kenya kachomoa Tz tulilipa 15% share yetu na bado tukaiongeza mpaka 20% USD 300m hivyo kwenye refinery ya UG tuna umiliki wa 20% na tuko tayari kuongeza shareholding should the need arise.
 
KItu usichokijua Total ndo ana usemi mkubwa mahali mafuta yanayosafirishwa na bomba yatakapopelekwa.I can bet you Total hana mpango wa refinery. Crude inayobaki Uganda ana plan kujisafishia mwenyewe itumike Uganda. Where does this leave the Tanga refinery?
Mbona unangangania Total kujenga refinery nani kasema Total anajenga refinery hapa?
 

Dangote Favours Kenya’s Mombasa Over Tanzania’s Tanga for East Africa Oil Refinery


Nigerian billionaire Aliko Dangote has indicated he now favours Kenya’s Mombasa over Tanzania’s Tanga for a proposed 650,000-barrel-per-day oil refinery estimated at USD 15–17 billion, citing port depth, market size, and the need for protection against cheap fuel imports—less than three weeks after pledging to build the facility in Tanga.

MAY 11, 2026 2 MINUTE READ
Dangote-Ruto-Oil-Refinery-Pledge-Kenya.png.webp

After pledging to build a 650,000-barrel-per-day oil refinery at Tanzania’s port of Tanga, Nigerian billionaire Aliko Dangote has indicated he now favours Kenya’s Mombasa as the preferred location for the project, according to the Financial Times.

Dangote had committed to the Tanga refinery at the Africa We Build Summit in Nairobi on April 23, 2026, in the presence of Kenyan President William Ruto and Ugandan President Yoweri Museveni, conditional on government support.

He now leans toward Mombasa primarily because of its deeper and larger port infrastructure, and because Kenya represents a bigger market with higher fuel consumption than Tanzania.

The cost of the proposed facility remains unchanged at between USD 15 billion and USD 17 billion, with a processing capacity of 650,000 barrels per day.

For the project to proceed, he said he would require the host government to provide land, some regional financing, and protection against what he described as the dumping of cheap fuel from countries such as Russia and India, adding that no refinery in the world could survive without such protection and that if an agreement were reached, construction could begin this year.

He also left the door open for Tanzania, stating he could still build the refinery there. The final decision, he said, rests entirely with President Ruto, according to Reuters.

Industry analysts have speculated that he may be using the competing locations to negotiate a better deal from both governments.

Tanzanian President Samia Suluhu Hassan, who was not present at the April 23 summit in Nairobi, subsequently stated publicly that she had not been consulted before the announcement, and told President Ruto directly that she had no prior knowledge of a plan that placed a major industrial project on Tanzanian soil.

Ruto, speaking at Tanzania’s parliament in Dodoma during a state visit, defended the announcement as part of broader regional consultations on industrialisation and the joint use of East Africa’s natural resources, according to Reuters.

Read more at: Dangote Favours Kenya's Mombasa Over Tanzania's Tanga for East Africa Oil Refinery and follow us on Twitter: https://twitter.com/TanzaniaInvest Facebook: TanzaniaInvest LinkedIn: TanzaniaInvest | LinkedIn Instagram: Instagram
Hawa kondoo hawaelewi hii michezo mikubwa akili kisoda.
 
We don’t dwell on pettiness. Thank God the France Africa summit is in Kenya and not TZ . I can imagine you in particular would have by now flooded the forum with videos and photos of Airport arrival of every of the 30 Heads of States. Imagine individual 30 Heads of state …. That’s why we call you washamba …😆😆😆
We jamaa, uko sure uko sawa kwel? A team qualifying for world cup is marketing the country at the highest level globally, world cup is the most watched event on earth leave alone what players earn which goes straight to their own income

Huezi linganisha na hizo conference which adds nothing to citizen earnings
 
Syokimau is forming a very decent skyline right in front of JKIA.

syokimau.PNG


Geza Ulole We mzee hio building with a crane hapo nyuma ya emirates cargo center ni Marriott Airport Hotel, The 3rd hotel inside JKIA, ndani ya JNIA hata lodging hakuna ju vile airport imebanwa na slums pande zote and has no room for expansion. 😂 😂 😂

syokimau1.PNG
 
That’s why we tell you Kenya 🇰🇪 is always ahead in many perspectives. You are only trying to catch up or keep up with us. Imagine an African country with an oil refinery in the 70s . Back then Dar didn’t even have a proper fish market…😆😆😆😆
70s 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 We had it since the 60s. You are always behind on everything.

Welcome to Tiper Tanzania

55 Years of Experience​

Born out of the ancient AGIP Refinery and originally built in 1966, TIPER is now a vast storage terminal for petroleum products. After the closure of the refinery in 2000, the storage facility that remained underwent major rehabilitation and improvement.
 
We don’t dwell on pettiness. Thank God the France Africa summit is in Kenya and not TZ . I can imagine you in particular would have by now flooded the forum with videos and photos of Airport arrival of every of the 30 Heads of States. Imagine individual 30 Heads of state …. That’s why we call you washamba …😆😆😆

View: https://vt.tiktok.com/ZS9T74UUv/
 
Back
Top Bottom