stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,319
- 33,837
kuna watu hawajui ata world cup qualififcations zikoje
View: https://x.com/CAFwomen/status/2053507453426212892?s=20
View: https://x.com/CAFwomen/status/2053507453426212892?s=20
We endela kufanya wishful thinking. SGR ya Tanzania haifiki bandarini kama ya Kenya View attachment 2254667
Binafsi nataka waondolewe kabisa kwenye huo mradi,jamaa ni wanafiki vibaya mno
Umeskia mahali ameongelea pipeline?😂😂🤣Labda hayo mafuta ahamishe na malori au meli lakini channel ya pipeline from Tanzania hilo sahauni
Kwan ruto ameamua anataka kuweka wap refinery? maana naona mnajiamulia sanaUmeskia mahali ameongelea pipeline?😂😂🤣
Hatuna sababu ya kulia. Nyie ni watu wa kelele mitandaoni lakini ground ni ZERO.Lieni mkitaka😂😂🤣
Utajenga refinery kwa inlet ya gallons? Au atatumia yale ya Lokichar ambayo hata kujaza tu bodaboda za Turkana hayatoshi? 🤔Umeskia mahali ameongelea pipeline?😂😂🤣
Wewe ndio unajua kuliko Dangote na wewe ni primary school dropout. Dangote doesn't rank that pipeline and he has made it very clear.Utajenga refinery kwa inlet ya gallons? Au atatumia yale ya Lokichar ambayo hata kujaza tu bodaboda za Turkana hayatoshi? 🤔
Ushamba na lack of exposure … Wanafikiri refinery lazima iwe na pipeline…🤣🤣Umeskia mahali ameongelea pipeline?😂😂🤣
Dangote amesema crude oil will be brought by ship. Mbona mnataka kupangia Dangote vile atatumia pesa zake?😂😂🤣Utajenga refinery kwa inlet ya gallons? Au atatumia yale ya Lokichar ambayo hata kujaza tu bodaboda za Turkana hayatoshi? 🤔
Yani majamaa wameumizwa na hii mambo ya Dangote kuchagua Mombasa kweli kweli.😂😂🤣Ushamba na lack of exposure … Wanafikiri refinery lazima iwe na pipeline…🤣🤣
I told them that Dangote is not focusing on Ugandan oil na hawaskii. And if at all he is to complement with the Ugandan one, then a ship will take it from Tanga, ferry it to Mombasa where it will be refined then resell it again to Uganda and Tanzania through Kenya Pipeline 😂😂.Wewe ndio unajua kuliko Dangote na wewe ni primary school dropout. Dangote doesn't rank that pipeline and he has made it very clear.
![]()
Tanga hata haina infrastructure to handle a 650bpd refinery. That's a very massive project, that needs a lot of supporting infrastructure in place.I told them that Dangote is not focusing on Ugandan oil na hawaskii. And if at all he is to complement with the Ugandan one, then a ship will take it from Tanga, ferry it to Mombasa where it will be refined then resell it again to Uganda and Tanzania through Kenya Pipeline 😂😂.