We mzee, you are still optimistic on your favorite low iq school dropout crook, hakuna kitu anajua, kama aliweza kusema bei ya 1L gas Us ni dola 800 unadhani kuna nini hapo,?
Just a wastage of time, infact kama nchi tumepoteza Miaka karibu 9 ya progress.
We’d anticipate some proactiveness on such massive investments ,
Inafika hatua watu wanakaa na mwekezaji wanjadili hadi kuamua kiwekeza kwenye nchi yako and you are not aware ?
We are not in position to afford losing such huge investments, kupoteza dili la dola karibu $10b ni hasara kubwa Sana, Ajira nyingi sana na pesa nyingi tunapishana nazo sababu ya kuwa na viongozi vilaza despite ya kuwa we are at the advantage,
Unless kuna watu wako serious hapo ikulu otherwise we are losing this one na inauma.