Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wakiona haya wanaumia sana. Bado nchi moja kati ya (Benin na Cote Ivoire)

1778429916609.png


1778429952224.png


1778429977076.png
 
Watu wa mdomo kubwa bwana. 😂😂😂 mafuta ya Uganda, anaijipa umuhimu Kenya, yeye kutwa kuzurura kuelezea habari ambazo yeye hazimuhusu kabisa. Uamuzi wa huu mjadala ni wa kati ya Tz, UG na Dangote.. nyie endeleeni kujitia tia tu kama ushuzi wa ngomani.
Hao maku wanajisumbua,siku wangevuka boda wakakuta trucks za dangote zilivyozagaa bongo hasa kule songea wala wasingeongopeana,binafsi hii issue ilipofikia nimefurahi,coz kifuatacho TZ na UG tunaweza kutengeneza refinery pasipo kushirikiana na machoko wa north
 
30 Heads of state sleeping in Nairobi same time . The security details are at another level. Tanzania will never achieve that unless outside help …🤣🤣🤣
 
Yale yale ya bomba la mafuta la Uganda kwenda kenya ndio haya tena, tunamtanguliza mzembe kama kawa

Yani watakuja kulia vibaya hawa kenge wa north..

Kasongo kaambiwa refinery itajengwa msa ila ahakikishe anatimiza masharti.. kitu ambacho hataweza!

Na Dangote kashasema mpira upo kwa Kasongo atakachosema yeye hana shidaa.. we all know Kasongo ameshasema anataka refinery ijengwe wapiii😂
 
30 Heads of state sleeping in Nairobi same time . The security details are at another level. Tanzania will never achieve that unless outside help …🤣🤣🤣
Bwaku ngaji hivi tram train aliyohaidi sarkozy kipindi cha uhuru kenyata iliishia wapi?
 
Back
Top Bottom