Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Menu za Zebra restaurant ni za moto. Kama hii ni 250k. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DXQ_DQQAH7E/?igsh=MXczMnY4M3oybmZ6cQ==. Kundustan wao wanajisifia kula vipaja vya kuku wa KFCs kwa 10k eti ni disposable income 😂😂😂 vikatuni kweli hivi vijamaa vya humu ndani. Hizi ni restaurants zipo kibao uswahilini sio hata kwenye mahoteli and they are doing good.
 
Local brands gani, do have any local chain with more than 25 restaurants?
We bwege wa TZ tunapenda kula vitu organic kama hivi,hiyo junk food pambaneni nayo wajinga kama nyie,restaurant kama hizi zimejaa TZ
 

Attachments

  • b7595724f54df5f5a72ecabfbb578e9c.mp4
    2 MB
  • c534ad1bb9d31c77d0971d0c9004c8b7.mp4
    809.4 KB
Hehe na hii ni ya Tanzania

View attachment 3582732
Citizen wakaribu kupunguza kidogo tu ila wapi nyinyi ni maskini ( extreme poverty)
View attachment 3582733
Lol Mko number 3..umeenda ku edit hii data yako..
1777715455817.png
 
We bwege wa TZ tunapenda kula vitu organic kama hivi,hiyo junk food pambaneni nayo wajinga kama nyie,restaurant kama hizi zimejaa TZ
Wanatueleza habari za disposable income kwa kula chicken wings za KFCs ambazo thamani yake ni 10k tzs 😂😂😂. Restaurants kibao Tz kila kona ya mtaa. Tena za kishefa *******, menu za humo ndani unaeza kuogopa.
 
Back
Top Bottom