Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1777715913896.png
 
Menu za Zebra restaurant ni za moto. Kama hii ni 250k. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DXQ_DQQAH7E/?igsh=MXczMnY4M3oybmZ6cQ==. Kundustan wao wanajisifia kula vipaja vya kuku wa KFCs kwa 10k eti ni disposable income 😂😂😂 vikatuni kweli hivi vijamaa vya humu ndani. Hizi ni restaurants zipo kibao uswahilini sio hata kwenye mahoteli and they are doing good.

Mbilikimo unakuja kututisha na patter. 😂😂😂 Nimedhani hata ni fine dinning. Hii ushamba ya Tanga itakutoka lini?
 
Mbilikimo unakuja kututisha na patter. 😂😂😂 Nimedhani hata ni fine dinning. Hii ushamba ya Tanga itakutoka lini?
Tanga na ushamba wapi na wapi mzee wa ushagoo.? Kuna watu wajanja kuliko sisi tunaotokea Indian Ocean kwa hii region.? 😂😂😂 kila kitu unaona sisi ndio tulitangulia kuona before zifike kijijini kwenu migori 50 years later.
 
This is the most popular in kundustan. We have them everywhere in the country. NB: they are everywhere in Tanzania. 😂😂😂 it’s a common thing.
You are just unexposed. What you think are only available in Tanzania are all over Kenya. But what we have in Kenya hamna huko Tanzania 🤣🤣😂
 
You are just unexposed. What you think are only available in Tanzania are all over Kenya. But what we have in Kenya hamna huko Tanzania 🤣🤣😂
Wala hakuna anaekukataza kujipa moyo humu ndani. Ukiona nakuelemea tafuta picha zangu za zamani upost ili upate nafuu. 😂😂 mana wewe ndie unaeteseka kuliko wote humu. Utakufa zoea Tanzania.
 
Tanga na ushamba wapi na wapi mzee wa ushagoo.? Kuna watu wajanja kuliko sisi tunaotokea Indian Ocean kwa hii region.? 😂😂😂 kila kitu unaona sisi ndio tulitangulia kuona before zifike kijijini kwenu migori 50 years later.
Yet hujui what a T-maker machine is🤣🤣😂
 
Back
Top Bottom