Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 1,721
- 4,601
Ukiona nakuelemea tafuta picha zangu za zamani post ili upate nafuu. Me sina huruma na wala sitaacha kuzodoa upuuzi wa kishamba wa ukundustan. 😂😂😂 kwahiyo kama nakutesa utateseka sana.So Naivas siku hizi ni foreign brand?🤣🤣😂