Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya receives mor tourists than Tanzania...pesa ndio mnatengnza nyingi toka utalii ila kwa wingi wa watalii ni Kenya
tanzania imepokea over 2 million tourist 2016

kenya imepokea 700k 2016 so😀😀😀

niko tayari kukuletea ushahidi
 
nasubiri bro yani kwenye swala la utalii hilo sahau kilimanjaro pekee inapokea over 10 direct flights from different companies achilia mbali dar na znz
upload_2018-1-11_9-47-57-png.672948
upload_2018-1-11_9-46-52-png.672947

upload_2018-1-11_9-51-51.png
 
Kenya receives mor tourists than Tanzania...pesa ndio mnatengnza nyingi toka utalii ila kwa wingi wa watalii ni Kenya
Hapo ndipo mnapaswa kujiuliza mnakosea wapi?, utalii kwetu ni biashara yenye faida kubwa, kwanini msijekujifunza kwetu ili na nyinyi mfaidike na utalii wenu, au lengo lenu sio pesa?
 
hapo hutakuwa unadanganya ila kwanzia 2015 kurudi nyuma tumepokea turists zaidi
mumeanza kuzidiwa na tanzania juu ya utalii from 2013 na hapo ndipo shirika lenu lilipoanza kupata hasara na ilikua jitihada kubwa sana ya kikwete😀😀
9D3031E3-5082-4BB0-AEE3-8230FE65D5F4.jpeg
 
does Tanzania have direct USA flights? jibu hili kwanza bro kisha tuendelee toka hapo
Sasa ndugu unaongelea USA wakati unajua ndio tunalifufua shirika letu la ndege.. Soon hizo ndege zikija Hiyo route lazima iwepo maana ndio target yetu kubwa
 
Sasa ndugu unaongelea USA wakati unajua ndio tunalifufua shirika letu la ndege.. Soon hizo ndege zikija Hiyo route lazima iwepo maana ndio target yetu kubwa
Pwahahahaha in Africa, only 5 countries fly direct to USA...Kenya will be the 6th bro...
 
Hapo ndipo mnapaswa kujiuliza mnakosea wapi?, utalii kwetu ni biashara yenye faida kubwa, kwanini msijekujifunza kwetu ili na nyinyi mfaidike na utalii wenu, au lengo lenu sio pesa?
tena mwaka jana wameondoa VAT kwa tourist sisi tukaweka VAT na bado wanamiminika kila leo serengeti yenyewe imezidiwa kabisa😀😀😀😀
 
Shirika letu la ndege lilikufa tangu limefufuliwa walau ndio kamwanga kameanza kuonekana
 
So you can and we can't?? How stupid that is?
my brother, do you know when we applied for direct flights to USA? we applied in 2010 na leo ndio tunakabidhiwa uhuru huo...mara nyingi wamekuwa wakisema kuwa airport yetu haijafikia standard za kidunia.ndio maana wamkuwa wakikataa toka 2010..sembuse airport yenu?
 
Back
Top Bottom