Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakati wenzetu wakihangaikia ajira, tanzania ajira ndio zinawatafuta watu😀😀😀😀
4DA7FA69-65CD-4EE4-ABE9-C00F3E584348.jpeg
 
after all these machinations,mudslinging,innuendos and propaganda about Nairobi and Kenya.....tunaomba mrudi kwenye mada na mtupostie middle class areas za darislum.
 
Wale ndugu zangu Wa mathare waliokua wakiona picha za Avic town baba yenu kutoka E.A. Best City nimewaletea link ya video muone jinsi Estates za Bongo zilivyo

lol.....tumewaomba Dar vs Mombasa mkakataa juu Mombasa ndio level yenu
 
tunawakaribisha watanzania wote wanaoelekea USA wapitie JKIA wajinasue kutoka kwa hali ya ushamba...modern airport, modern planes, direct flights
 
American tourists heading to Tanzania and Uganda will have to pass through Nairobi first, perhaps even spend a night or two before heading to these LDC countries and come back again to Nairobi while they are heading back home...haha! we are the kings here...majority of EA tourists which are about 5 million a year may have to use JKIA or spend long hours connecting via dubai, london or qatar...
 
after all these machinations,mudslinging,innuendos and propaganda about Nairobi and Kenya.....tunaomba mrudi kwenye mada na mtupostie middle class areas za darislum.
Rafiki umesahau kuwa ninyi ni MLDC halafu sisi ni LDC. Hilo swali unaliuliza la nini?
 
American tourists heading to Tanzania and Uganda will have to pass through Nairobi first, perhaps even spend a night or two before heading to these LDC countries and come back again to Nairobi while they are heading back home...haha! we are the kings here...majority of EA tourists which are about 5 million a year may have to use JKIA or spend long hours connecting via dubai, london or qatar...
That was because we didn't have direct flights kwa sababu ya kukosa ndege.. Ndio maana tumenunua ndege 6 ambazo mpk June zote zitakua zimeshafika. Dawa inachemka ngoja tu
 
all Ugandans, Tanzanians, Rwandese heading to USA will be using Kenya Airways and other airlines operating at JKIA from October...haha!
ningewahauri kwanza mupambane na loss iliyowagharimu miaka mitano mfululizo sasa😀😀

yani shirika linakosa mpaka pesa ya kuwalipa engineers
 
Back
Top Bottom