Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

i tell you what, living in a country where you have no hope of being employed or get a proper job is very stressful.

imagine even their women have turned into doing crime in order to live a better life.

4accf0341441e202452fd5578912bdd4.jpg
63129886cd688646bd2d70578aed74aa.jpg
 
nakubaliana ila Kenya imekuwa ikipokea tourists zaidi kuliko Tanzania...ama unabisha? unajua niko tayari kuleta facts ndugu yangu
hakuna mtu amekataa from 2013 tanzania ilianza kupokea watalii wengi sana kuliko kenya tena through direct flights ndipo hapo kq ilipoanza kupata hasara na yote ilikua jitihada ya kikwete kuzunguka karibuni dunia nzima kutangaza utalii na mlima kilimanjaro😀😀😀😀
 
Sisi lengo letu ni pesa, hata kama anakuja Bill Gate peke yake kwa mwaka na atuambie tusiruhusu mtalii hata mmoja kuja Tanzania, atalipa $3B kwa mwaka, poa tu, nyeye endeleeni kuhesabu vichwa
 
nakubaliana ila Kenya imekuwa ikipokea tourists zaidi kuliko Tanzania...ama unabisha? unajua niko tayari kuleta facts ndugu yangu
yani kwenye mambo yanayohusu utalii hio sahau tena bro labda nikuulize unajua sababu kubwa kq kuanzisha flight to america???
 
sasa ndio mfikie KQ hata kama ina losses jipatieni miaka 10 minimum
Focus ndio kitu Muhimu, inawezekana sana maana utalii unaliingizia pesa nyingi hili taifa. ..,Hatutaki kabisa aibu ndogo ndogo tumeacha uzembe
 
hakuna mtu amekataa from 2013 tanzania ilianza kupokea watalii wengi sana kuliko kenya tena through direct flights ndipo hapo kq ilipoanza kupata hasara na yote ilikua jitihada ya kikwete kuzunguka karibuni dunia nzima kutangaza utalii na mlima kilimanjaro😀😀😀😀
pwahahaha 2015 data nimekupa bro na ukaona kuwa Knya ilipoka tourists zaidi...ila hata wacha hilo bro...all these 5 million tourists coming to EA especially wale wanaelekea Uganda woet wanapitia Kenya...Uganda receives 1.3 million tourists per year and Kenya receives about 1.2 million...hao ni wangapi wametua JKIA?
 
sasa ndio mfikie KQ hata kama ina losses jipatieni miaka 10 minimum
kq haina ndege bro narudia kukwambia haina na haijawah kununua ndege cash, hzo ndege munakodisha toka kwa partners zikiwemo star allience, klm etc, na moja ya sababu kubwa ya loss ni leasing aircrafts huo ndio ukweli ndio maana mwaka jana mumeanza kurudisha ndege kwa wenyewe😀😀😀

sasa remb tanzania imenunua ndege 7 kwa mpigo na zote zimeshalipiwa down payments na mwaka huu zinaingia ndege 4 jumla ikiwemo boeing 787 ya kwanza alaf 2019 inaingia 787 nyingine ya pili from manufacturer
 
yani kwenye mambo yanayohusu utalii hio sahau tena bro labda nikuulize unajua sababu kubwa kq kuanzisha flight to america???
sana sana ni kwasababu ya utalii na pia horticulture...Kenya exports alot of flowers and other perishable products to USA...
 
kq haina ndege bro narudia kukwambia haina na haijawah kununua ndege cash, hzo ndege munakodisha toka kwa partners zikiwemo star allience, klm etc, na moja ya sababu kubwa ya loss ni leasing aircrafts huo ndio ukweli ndio maana mwaka jana mumeanza kurudisha ndege kwa wenyewe😀😀😀

sasa remb tanzania imenunua ndege 7 kwa mpigo na zote zimeshalipiwa down payments na mwaka huu zinaingia ndege 4 jumla ikiwemo boeing 787 ya kwanza alaf 2019 inaingia 787 nyingine ya pili from manufacturer
kwa hiyo KQ wanatumia basi kusafirisha abiria sio?😀😀😀😀
 
pwahahaha 2015 data nimekupa bro na ukaona kuwa Knya ilipoka tourists zaidi...ila hata wacha hilo bro...all these 5 million tourists coming to EA especially wale wanaelekea Uganda woet wanapitia Kenya...Uganda receives 1.3 million tourists per year and Kenya receives about 1.2 million...hao ni wangapi wametua JKIA?
mm nimekupa ya 2013😀😀😀😀😀
yani mwaka jana tanzania imepokea watalii over 2million na malengo yetu 2025 tutapokea watalii over 8 million na hapo tushakua na ndege zetu wenyewe
 
my brother, do you know when we applied for direct flights to USA? we applied in 2010 na leo ndio tunakabidhiwa uhuru huo...mara nyingi wamekuwa wakisema kuwa airport yetu haijafikia standard za kidunia.ndio maana wamkuwa wakikataa toka 2010..sembuse airport yenu?
Sasa JKIA ina kitu gani cha Zaid kushinda JNIA.. Kwani unafkiri Magufuli anachokifanya pale kupanua ule uwanja unafkiri target ya ni Nini?

Nisikulaumu labda uangalie hii video then jipe majibu mwenyewe

Hii ni Tz mpya sio ya ile ulioizoea
 
sana sana ni kwasababu ya utalii na pia horticulture...Kenya exports alot of flowers and other perishable products to USA...
hahahah siki bro kenya na tanzania ziko kwenye ushindani wakimaendeleo na huo ndio ukweli sababu kubwa ya kenya kuanzisha direct flight to america amefanya mapema kwasababu tanzania mwaka huu inaanza safari hio so ni ushindani wakimaendeleo
 
mm nimekupa ya 2013😀😀😀😀😀
yani mwaka jana tanzania imepokea watalii over 2million na malengo yetu 2025 tutapokea watalii over 8 million na hapo tushakua na ndege zetu wenyewe
data bro...kupayuka unapenda sana mwarabu😀😀😀leta data...nitakubali tu ukileta data
 
Focus ndio kitu Muhimu, inawezekana sana maana utalii unaliingizia pesa nyingi hili taifa. ..,Hatutaki kabisa aibu ndogo ndogo tumeacha uzembe
mm siwez kusema uzembe, tanzania ilichelewesha maendeleo maksudi ili watanzania wapate elimu ya kutosha ili waje kushika kazi wenyewe kuliko kazi kushikwa na wageni ingeleta vita kubwa kama unavoona south africa leo
 
hahahah siki bro kenya na tanzania ziko kwenye ushindani wakimaendeleo na huo ndio ukweli sababu kubwa ya kenya kuanzisha direct flight to america amefanya mapema kwasababu tanzania mwaka huu inaanza safari hio so ni ushindani wakimaendeleo
Pwahahaha kwanza hata airport yenu iko katika hali mbaya...nimekwambia jipatieni miaka 10 kwanza...Rwandair stands a bettr chance than Tanzania airways
 
Sasa JKIA ina kitu gani cha Zaid kushinda JNIA.. Kwani unafkiri Magufuli anachokifanya pale kupanua ule uwanja unafkiri target ya ni Nini?

Nisikulaumu labda uangalie hii video then jipe majibu mwenyewe

Hii ni Tz mpya sio ya ile ulioizoea

Jkia ndio aiport inayoongoza ukanda huu na 7.5 mil arrivals na kuna plans za kuiongeza mpaka 10.3 mil by 2020..JNIA hata 3 mil bado😀😀😀😀mnachezea 2.5 mil
 
Back
Top Bottom