Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa wewe kwa akili yako ulete watalii wengi kenya 2013 alaf shirika liendeshe hasara😀😀😀😀😀
View attachment 672966
JKIA haitegemei utalii pke yake..look at this mwarabu?? inategemea pia cargo toka Uganda, Tanzania etc...inategemea horticultural products...inatgemea usafiri wa ndani mfano toka Nairobi mpaka Mombasa...
 
Pwahahaha kwanza hata airport yenu iko katika hali mbaya...nimekwambia jipatieni miaka 10 kwanza...Rwandair stands a bettr chance than Tanzania airways
airport ya dar imezidiwa na watalii ndio maana tunajenga giant in east africa 😀😀😀😀😀
 
List of busiest airports in Africa...😀😀😀😀
upload_2018-1-11_10-21-44.png
 
Jkia ndio aiport inayoongoza ukanda huu na 7.5 mil arrivals na kuna plans za kuiongeza mpaka 10.3 mil by 2020..JNIA hata 3 mil bado😀😀😀😀mnachezea 2.5 mil
Umeangalia video? Angalia kwanza ujue kinachoendelea Tz alafu ndo urudi tuendelee kupeana facts
 
Jay spare your energy......kijinchi kama Tanzania hakuna kitu wanaeza ambia the mighty Kenya.....

you just need to travel to that country utashangaa hata ni nini wanazungumza hapa......
 
JKIA haitegemei utalii pke yake..look at this mwarabu?? inategemea pia cargo toka Uganda, Tanzania etc...inategemea horticultural products...inatgemea usafiri wa ndani mfano toka Nairobi mpaka Mombasa...
ndio ipate hasara from 2013 mpaka leo😀😀😀
mzigo hatutegemei kenya sahau hio😛😛
kuna DHL, swiss kuna ethiopia nae kaanzisha cargo etc
 
Jay spare your energy......kijinchi kama Tanzania hakuna kitu wanaeza ambia the mighty Kenya.....

you just need to travel to that country utashangaa hata ni nini wanazungumza hapa......
by the way...sometimes I even wonder why I bother...everything is clear...
 
Jay spare your energy......kijinchi kama Tanzania hakuna kitu wanaeza ambia the mighty Kenya.....

you just need to travel to that country utashangaa hata ni nini wanazungumza hapa......
Haha I pity you poor moron...spare ur ass
 
pngine tuzungumzie jambo lingine ila kwa airports, aviation and Arlines, Kenya is 20 years ahead of tanzania
 
pngine tuzungumzie jambo lingine ila kwa airports, aviation and Arlines, Kenya is 20 years ahead of tanzania
hio ni dream tanzania inaonesha jeuri ya kununua 7 airctafts cash using its money😀😀😀😀😀

na ni jambo limeishtua sana africa 😛😛😛😛
 
hio ni dream tanzania inaonesha jeuri ya kununua 7 airctafts cash using its money😀😀😀😀😀

na ni jambo limeishtua sana africa 😛😛😛😛
hayo mitungi ya chang'aa (bombadier) mnaweza nunua hata 100 ila ndege za KQ hamziwezi😀😀
 
Back
Top Bottom