Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

American tourists heading to Tanzania and Uganda will have to pass through Nairobi first, perhaps even spend a night or two before heading to these LDC countries and come back again to Nairobi while they are heading back home...haha! we are the kings here...majority of EA tourists which are about 5 million a year may have to use JKIA or spend long hours connecting via dubai, london or qatar...
hio ilikua zaman sasa hvi kuna direct flights kibao dar es salaam, kilimanjaro, znz etc hakuna mtalii sasa anaetaka usumbufu na kupoteza pesa, kilimanjaro pekee inapokea watalii Over 10 directs flights of different destinations achilia mbali dar na zanzibar

alaf kitu kingine tanzania pia inapokea watalii kupitia bandari na train kupitia south africa ambayo ni train ghali zaidi duniani na inakuja tanzania kuleta watalii zaidi ya mara 10 kwa mwaka
 
Ikiuma sana meza panadol
63cbec095add221812f4eb918e499d1c.jpg
nilitegeme unioneshe hii😀😀😀😀
76BBE8B7-4719-475C-B6EE-14C0AE36B71B.jpeg
 
That was because we didn't have direct flights kwa sababu ya kukosa ndege.. Ndio maana tumenunua ndege 6 ambazo mpk June zote zitakua zimeshafika. Dawa inachemka ngoja tu
tanzania ina direct flights kwnda USA? punguza ujinga ndgu,,,most of tourists in EA come from USA and UK, and Germany...and thy all pass through JKIA
 
ningewahauri kwanza mupambane na loss iliyowagharimu miaka mitano mfululizo sasa😀😀

yani shirika linakosa mpaka pesa ya kuwalipa engineers
pole sana...sisi hatuna vibanda vya mabati na mitungi ya chang'aa mnaita ndege na airport....all tourists pass from JKIA before thy had to your LDC countries
 
tanzania ina direct flights kwnda USA? punguza ujinga ndgu,,,most of tourists in EA come from USA and UK, and Germany...and thy all pass through JKIA
But you get only 25% of that of Tanzania revenue pamoja na kwamba wanapitia Kenya
 
pole sana...sisi hatuna vibanda vya mabati na mitungi ya chang'aa mnaita ndege na airport....all tourists pass from JKIA before thy had to your LDC countries
kwanza nilifurah muliporudisha ndege 5 mlizo lease sasa na bado loss inawatafuna, kumbuka leo miaka 5 bro shirika halitakaa salama mpaka murudishe ndege zote mlizo lease alaf muanze kununua za kwenu sasa
 
hio ilikua zaman sasa hvi kuna direct flights kibao dar es salaam, kilimanjaro, znz etc hakuna mtalii sasa anaetaka usumbufu na kupoteza pesa, kilimanjaro pekee inapokea watalii Over 10 directs flights of different destinations achilia mbali dar na zanzibar

alaf kitu kingine tanzania pia inapokea watalii kupitia bandari na train kupitia south africa ambayo ni train ghali zaidi duniani na inakuja tanzania kuleta watalii zaidi ya mara 10 kwa mwaka
Pwahahaha...mimi naongelkea direct flights kwenda USA ambao KQ kwa sasa wameanza kupanga....kumbuka majority of ur tourists com from USA and UK
 
tanzania ina direct flights kwnda USA? punguza ujinga ndgu,,,most of tourists in EA come from USA and UK, and Germany...and thy all pass through JKIA
unashindwaje kusoma alama za nyakati.. Nimemaanisha tulikia hatuna ndege zitakazofanya safari za moja kwa moja ndio maana tumenunua hizo 6.. 3 zikiwa zinafnya safari za Marekani Ulaya na Asia na 3 safari za ndani..
 
kwanza nilifurah muliporudisha ndege 5 mlizo lease sasa na bado loss inawatafuna, kumbuka leo miaka 5 bro shirika halitakaa salama mpaka murudishe ndege zote mlizo lease alaf muanze kununua za kwenu sasa
hata KQ ikifa leo bado huwezi fananisha na huo upuuzi wenu wa vibanda na mitungi ya chang'aa...bombadie😀😀😀r
 
mtalii gani anapitia kenya sasa hvi wakati ndege zinatoka nje zinakuja tupu hazina watu😀😀😀😀

kwann mtalii asipande direct flight klm to kilimanjaro ili aepuke usumbufu alaf apande kq😀😀😀
pwahahaha😀😀😀😀subiri nakupa jibu
 
unashindwaje kusoma alama za nyakati.. Nimemaanisha tulikia hatuna ndege zitakazofanya safari za moja kwa moja ndio maana tumenunua hizo 6.. 3 zikiwa zinafnya safari za Marekani Ulaya na Asia na 3 safari za ndani..
does Tanzania have direct USA flights? jibu hili kwanza bro kisha tuendelee toka hapo
 
Pwahahaha...mimi naongelkea direct flights kwenda USA ambao KQ kwa sasa wameanza kupanga....kumbuka majority of ur tourists com from USA and UK
ikiwa wewe unaongelea direct flight na sisi tulishaongelea ndio maana mwaka huu 787 ikitua tu safari ya kwanza inaanza america na europe,
 
KQ hivi kq vile sasa Mbona utalii wenu mnapata pesa sawa na mbuga moja tu uku bongo

Kama Raisi asingekua ameagiza Dreamliner na yale mabombadia Makubwa mngeweza brag kias. ..Ila wale watalii wetu tunawafuata waliko hamtalamba ata Mia apo JKia na ndio itakua respect sasa
 
Kenya receives mor tourists than Tanzania...pesa ndio mnatengnza nyingi toka utalii ila kwa wingi wa watalii ni Kenya
 
Back
Top Bottom