Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukweli ni kwamba, wako so bitter na there is no way to turn things vingine hivyo wanatengeneza uongo kuwa ndio waliopush hili.


View: https://x.com/KipepeComrade/status/2048779449609457911?s=20

Unataka kuwa na refinary Mombasa wakati huna logistics za kuleta mafuta Mombasa toka Turkana. Mafuta ya Uganda tayari yanakaribia Tanga hivyo it makes sense kuwa na refinery Tanzania na pia EACOP ina serve a wider great lakes region (DRC, S.Sudan na TZ oil on the shores of lake Tanganyika)
 
Kwan ni mashindano ama watu waishi vizuri nchini? your the only one focused on GDP na currency value, sisi tunataka ela ifikie other Tanzanians kwenye chain nzima ya economy
If you are not focused with GDP then why are you always sharing GDP growth rates here daily?😂😂🤣
 
you dont need ama Hauna, Kenya has never got a CAT 4 stadium , most high profile matches took place in Uganda Nelson Mandela Stadium
Tell us those high profile Matches that took part in Uganda and what was the reason.
 
Did that CAT 4 give you hosting rights za CHAN finals?😂🤣
CHAN isnt a major tournament, any stadium can host it, infact there were some matches playeed ay NYAYO but when its AFCON Nyayo turns to training ground
Rwanda even Hosted it the whole CHAN themselves
 
Tell us those high profile Matches that took part in Uganda and what was the reason.
all Kenya national team matches used Nelson Mandela stadium because kenya never had a CAT4 stadium, these matches include FIFA qualifiers, so you had to use Nelson Mandela stadium as Home stadium
 
If you are not focused with GDP then why are you always sharing GDP growth rates here daily?😂😂🤣
GDP isnt a big issue as you take it, all it does it count revenues in the country the whole Year, however These revenues can come from single strong sectors, if you have a sector that overpowers itself it can push the numbers high than the entire population needs

For example Kenya economy is Based on the SERVICE sector, all transactions from banks, mpesa... these can push the numbers so high than other industries

also Some few people can earn alot than the entire population, so when your celebrating GDP your actually celebrating few people revenues, in this sense slums wont end as money goes to few people
 
On books it seems like it is paying debts but in reality it is being swindled by gluttonous politicians. Fanyeni debt stock kwanza ndio mtajua reality yake ikoje. Mfano mzuri ni Talanta overpriced tag yote ni debt lakini a portion of inflated cost inaenda mifukoni mwa politicians.
Kenya makusanyo au mapato yao yote kwa mwaka ni usd 25bil usd
Gharama za mishahara au matumizi yasiyo ya maendeleo au reccurent expenditure ni 24bil usd.
Madeni ya kulipa kwa mwaka 17.5bil usd( kumbuka wanatumia zaid 70% ya mapato yao kulipa deni)
Mpaka hapa ukichukua reccurent expenditure na madeni tu lazima wakope pesa ila kuweza kukamilisha madeni,
Hapo hujaweka fedha kwa ajili ya maendeleo ndo maana tunawaambia wanaishi kwa mikopo wakisema wakose mikopo hawawez hata kulipa mishahara
Haha
Na kwa kuongezea tu most ya madeni ya tz yalitokana na miradi mikubwa kama jhhp, na sgr, bandari na pipeline Toka mtwara na vyote vinafanyakazi kwahiyo deni litajilipa taratibu.
Jhhp Inaweza ikajilipa hasa tukianza kuwauzia wazambia
 
Back
Top Bottom