Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

why wars tena 😂😂 no resting, kule juu somalia uku chini mtadeal na sisi
1777555643055.png
 
Hivi wanafikiri kujenga pipeline ni kama kula githeri 😁
Sasa hata wakijenga si bado watapita kwenye territorial water yetu lazima watalipia .Inaweza ikawa Uganda wanavyolipa , tunawakaribisha waje kujenga watuongezee mapato 🤣🤣🤣🤣
Na uzuri wakati wa kujenga lazima wataajiri wabongo
 
Will that make Tanzania bigger economy than Kenya?😂😂🤣
 
Sasa hata wakijenga si bado watapita kwenye territorial water yetu lazima watalipia .Inaweza ikawa Uganda wanavyolipa , tunawakaribisha waje kujenga watuongezee mapato 🤣🤣🤣🤣
Hapana Mozambique anaweka mifumo ya LNG hivyo itaweza kusafirishwa na meli. Sisi mpaka LNG ya Lindi ikiwa on stream ndio tutaweza kusafirisha gas kwa meli ila kwa sasa mpaka tuwe na pipeline. kujenga pipeline toka Dar mpaka Mombasa inaweza ikala 2 billion USD ukiwaambia watoe hiyo hela tujenge pipeline hawana kazi lawama tuu ndio walichozoea.
 
it wasnt designed for electricity, BTW dont think its all about building poles, every 50km, train has to switch power stations in reference Tanzania had to build a brand new DAM
mwambie at every 50km along the rail kuna power station na pia kuna multiple connections from the national grid to ensure power is ever present hata kama a section ya grid ikiwa down hapa bado miundombinu mingine ya poles and caternary cables. electric trains sio sawa na kula mokimoo
 
Sasa hata wakijenga si bado watapita kwenye territorial water yetu lazima watalipia .Inaweza ikawa Uganda wanavyolipa , tunawakaribisha waje kujenga watuongezee mapato 🤣🤣🤣🤣
Na uzuri wakati wa kujenga lazima wataajiri wabongo
Pipeline mbona ipo ile 524 km Mtwara-Dar pipeline inatakiwa iwe extended! Say +50 km to Cabo Delgado from Mnazi Bay Mtwara n 400 km from Dar to Mombasa!
 
Your taxes are eaten by greedy politicians.
You are the same people who always tell us that 60% of our taxes are used to pay debts, now it's eaten by politicians? Which is which?😂😂🤣
 
You have never tried an electric train so we understand your foolishnes, however make sure you keep paying Ethiopia for power because you think electric trains are just poles and wagons
The same mentality they had for BRT thinking if you take a paint and brush you can have a brt system 😂😂😂
 
mwambie at every 50km along the rail kuna power station na pia kuna multiple connections from the national grid to ensure power is ever present hata kama a section ya grid ikiwa down hapa bado miundombinu mingine ya poles and caternary cables. electric trains sio sawa na kula mokimoo
anadhan Electric train ni kuweka poles 😂 😂 angejua
 
Back
Top Bottom