Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala, I told you to quote the post where I posted the said picture. Uploading a random picture doesn't validate your argument. This is not a quote. You even know it's four years ago. Just go back and quote the post. It's so simple. Secondly, you talked about a link. Do the same too
Na quote vipi wakati ulipoona umejipoat uka futa muda huo huo, ukasahau kumbe The best 007 alisave haraka na kunitumia private message. 😂😂😂
Haya niambie kwanini umekimbia kulock fb account yako kama huyo sio wewe!
 
Najua kiingereza ndio huelewi. What's the difference between what you've posted here (the screenshot) and what I said earlier?
Haha wewe tulia ,
Ingekuwa planned, basi kutoka naivasha to malaba ingekuwa electric. Halafu lazima ujue sio tu kuweka maeneo ya kuweka poles za umeme , kuna signalling systems bado mnaweka Yale ya zamani , bado mnajenga jointed railway track ambayo Ina limit speed, bado mnatumia tracks za uic 45 dhidi ya 60 za Tanzania ,
Hayo yote mtaweza ya badilisha kwa nusu ya cost ya ujenzi , sasa kama mnajua mtabadilisha na cost ni zilezile ,kwani msijenge direct Toka naivasha mpaka malaba iwe electric , badala ya kujenga eti mtakuja Fanya electrification baadae.
Uganda watatumia arema standards , kwanini nanyi msijenge kwa hizo standards ili Zi intergrate na zile za Uganda?
Tatizo mnapenda ibiwa na mkiambiwa mnajifanya wajuaji🤣🤣🤣🤣.
Yaani nyinyi wajinga mnajenga diesel sgr kwa 13mil usd/km versus tanzania sgr ya 4.5 mil usd./km with electrification, halafu unakuja jisifia eti tutabadilisha huko mbele
 
Na quote vipi wakati ulipoona umejipoat uka futa muda huo huo, ukasahau kumbe The best 007 alisave haraka na kunitumia private message. 😂😂😂
Haya niambie kwanini umekimbia kulock fb account yako kama huyo sio wewe!
Bongolala, nilifuta muda huo huo and at the same time someone got a chance to save it. How laughable! And now you want me to also explain why people lock their Facebook accounts 😂😂. How foolish! Stop the desperation Nyamwezi. My identity will remain a mystery to you
 
Bongolala, nilifuta muda huo huo and at the same time someone got a chance to save it. How laughable! And now you want me to also explain why people lock their Facebook accounts 😂😂. How foolish! Stop the desperation Nyamwezi. My identity will remain a mystery to you
Kwanini umeenda kulock facebook account yako kama huyo sio wewe! 😂😂😂
 
Do we have an sgr line from Naivasha to Malaba or what exactly are you talking about? Unaona sasa ubaya wa kutumia hisia kwenye majadaliano?
Haha nyoroo unaelewa maana ya ESIA report?
Ile Mliyotoa November 2025 , according to the repor, tnajenga the same standard Buda.
Labda uwe nayo nyingine ila kwa Ile specification zake ni hizi
Screenshot_20260430-013733.png
 
it wasnt designed for electricity, BTW dont think its all about building poles, every 50km, train has to switch power stations in reference Tanzania had to build a brand new DAM
Shida yenu mnajifanyanga wajuaji Sana.

This is the recently released ESIA for SGR phase 2B to Kisumu. I have circled where there's an option for electrification.

1000257834.jpg
 
Mjinga wewe Mimi nimekuwekea screenshot ya ya report yenu ya ESIA wewe unaniokotea taarifa za googleView attachment 3581635

Unazania wote tuna akili za kibera
Jana mlisema Kisumu section has no ESIA, sasa hii imetoka matakoni ama?

By the way are you aware that this screenshot proves that Nicxie is right ama maana ya "electrified conditions reserved" ndio hujui?
 
Back
Top Bottom