Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatujaishindwa kulipa madeni kama nyinyi😂😂🤣
Kiboko ya nywele ngumu 😂
1777549098483.png
 
So huwa mnatupatia pesa ya kulipa deni zetu? Remember Tanzania is the only country in East Africa together with Somalia wenye washaiishindwa kulipa deni Hadi wakasamehewa🤣🤣😂😂
Kumbuka Kenya ni the only country in east Africa iliyoshindwa kulipa deni mpaka ikaamua kurestructure mkopo wake kwenda yuan
 
Aah humu ndani tunapigizana kelele na vituko kutoka kundustan. 😂😂😂 hakuna mtu wa maana hata mmoja.
 
Tena kuanzia sasa list yako imeshuka down zaidi. 😂😂😂 unafanana na komba mzee .? 🙌🏾🙌🏾
I know unatamani kunijua. These are all my FB accounts, go browse. Do whatever you feel can help you🤣🤣😂👇👇

Now this is you😂😂👇👇👇
 
Kumbuka Kenya ni the only country in east Africa iliyoshindwa kulipa deni mpaka ikaamua kurestructure mkopo wake kwenda yuan
Tulilipa ama hatukulipa? Nyinyi mlishindwa kabisa. Kwanza magufuli alisema hadharani ATI mdamehewe deni juu hamna uwezo WA kulipa😂😂🤣
 
So loan ya SGR yenu ni development lakini loan ya SGR ya Kenya ni consumption?🤣🤣😂🤣
Ukikopa pesa ili kustabilize currency ni consumption , ukikopa ili uweze kufacilitate recurrent expenditure ni consumption.
Ukirestructure mkopo kwenda yuan na gharama ya mkopo ikaongezeka ni consumption.
Unajua 70 % ya currency reserves zenu inatokana na mkopo + plus remittance na unajua remittance sio production maana haina source ndani ya nchi.
Kwahiyo bado mnakopa vile ili kustabilize forex reserves ambayo ni consumption.
Sgr na kadhalika ni developemnt
 
Back
Top Bottom