Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The same mentality they had for BRT thinking if you take a paint and brush you can have a brt system 😂😂😂
zile pale zimebaki kama historical sites

1777558024216.png
 
Sasa hata wakijenga si bado watapita kwenye territorial water yetu lazima watalipia .Inaweza ikawa Uganda wanavyolipa , tunawakaribisha waje kujenga watuongezee mapato 🤣🤣🤣🤣
Na uzuri wakati wa kujenga lazima wataajiri wabongo
yaaani labda waweke meli ya kwenda kuchukua na kurudisha ila kama ni Pipe aisee hio hela tunaitaka, tena ni wakina Teargass wanalipa hio hela tunaitaka at the same time sisi hatutaki kuwauzia 😂 😂
 
So we are borrowing our taxes to pay loans? 🤣🤣😂🤣

Who are we borrowing those taxes from?😂😂🤣
You pay tax to pay interest on loans that will enable you to get more loans
 
Will that make Tanzania bigger economy than Kenya?😂😂🤣
Kwan ni mashindano ama watu waishi vizuri nchini? your the only one focused on GDP na currency value, sisi tunataka ela ifikie other Tanzanians kwenye chain nzima ya economy
 
Have you heard of something called nuclear energy?

And do you know that by the time you were electrifying your sgr, Kenya was producing more power than Tanganyika?
Have you heard of something called nuclear energy?

And do you know that by the time you were electrifying your sgr, Kenya was producing more power than Tanganyika?
Hivi wewe dogo unatuonaje sisi? Sisi maneno kidogo vitendo vingi.
 
Infact US is now officially the largest oil producer in the world ( 14 million barrels a day). I know guys who became millionaires overnight by leasing their land in North Dakota to oil companies.
sasa how does that help kenya? and US isnt an oil producer rather an oil storage country
 
Pipeline mbona ipo ile 524 km Mtwara-Dar pipeline inatakiwa iwe extended! Say +50 km to Cabo Delgado from Mnazi Bay Mtwara n 400 km from Dar to Mombasa!
Hakuna mantiki ku link na Cabo Delgado wao wana gas na sisi tunayo link ya Mombasa from Dar ndio inatakiwa ila jamaa hela ya kuchangia gharama hawana fiscal space yao ni ndogo sana mkuu.
 
Hakuna mantiki ku link na Cabo Delgado wao wana gas na sisi tunayo link ya Mombasa from Dar ndio inatakiwa ila jamaa hela ya kuchangia gharama hawana fiscal space yao ni ndogo sana mkuu.
Rostam si alikua anavuta?
 
You are the same people who always tell us that 60% of our taxes are used to pay debts, now it's eaten by politicians? Which is which?😂😂🤣
On books it seems like it is paying debts but in reality it is being swindled by gluttonous politicians. Fanyeni debt stock kwanza ndio mtajua reality yake ikoje. Mfano mzuri ni Talanta overpriced tag yote ni debt lakini a portion of inflated cost inaenda mifukoni mwa politicians.
 
Back
Top Bottom