Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona ulithreaten scammer akakutoroka😂😂🤣😂
Anajiona low budget Edward Snowden from Kariakoo, ule hakuna kitu anajua, anajiona hacker na hakuna kitu anajua. 😂 😂 😂
 
Anajiona low budget Edward Snowden from Kariakoo, ule hakuna kitu anajua, anajiona hacker na hakuna kitu anajua. 😂 😂 😂
Huyo jamaa no scammer, huwa hanitaki na roho yake yote. Huwa ananiblock, ananiblock, ananiblock tena ananiblock tena🤣🤣🤣😂.

Nilimwambia yeye hata hawezishtua nzi🤣🤣😂🤣
 
Huyo jamaa no scammer, huwa hanitaki na roho yake yote. Huwa ananiblock, ananiblock, ananiblock tena ananiblock tena🤣🤣🤣😂.

Nilimwambia yeye hata hawezishtua nzi🤣🤣😂🤣
Mwanaume mdaku, amejaza picha za wanaume wenzake kwa simu. 😂 😂 😂 Akona deficiency ya testosterone.
 
It was all over the news. Unapinga kitu iko in public domain. Mara ngapi SGR yenu imesimamishwa ju ya bad weather.
Umesema viaduct kuanguka leta picha, bas weather inaathiri karibia tren zote za umeme.
Wewe leta proof ya viaduct kuanguka kama ilivyo claim
 
Imesema viaduct kuanguka leta picha, bas weather inaathiri karibia tren zote za umeme.
Wewe leta proof ya viaduct kuanguka kama ilivyo claim
Mkundustani akiwa desperate husema chochote kujifariji! Anajua elctrification ya SGR inayohitaji over $1bln haitafanyika na Museveni anajenga electric SGR itakayoondoa synergy!
 
Haha kwani nani alikuambia mkapa haina skyboxes au ndo kwanza mnazopata kwenu?
Tuonyeshe hizo skyboxes za Makwapa. You are the 4th Tanzanian I'm daring to post those Makwapa skyboxes, wengine walitoroka. Now I want you to show them to me.
 
Hata CHAN tulilia Sana vile Finals ilichezwa Vumbistan 😂😂🤣
Lakini si mnajua Tanzania huwa ni wazee wa kupindua meza🤣🤣🤣
hatukuwa interested na CHAN ndo maana unaona hakuna renovation yoyote iliyofanyika kwa ajili yake ,ila nyinyi mlihangaika na kasarani , sasa hivi tunaitaka afcon na hamtatuziia na tunajua vilio baada ya nyinyi kuikosa .
Tuliwaachia chan ki strategy nanyi mkaingia ?
 
hakuna renovation yoyote iliyofanyika kwa ajili yake
The same renovation we did at Kasarani is also what you did at Makwapa? Didn't you people changed seats at Makwapa? Didn't you work on the playing surface?

Nenda ukadanganye watoto jinga hii.
 
Mkundustani akiwa desperate husema chochote kujifariji! Anajua elctrification ya SGR inayohitaji over $1bln haitafanyika na Museveni anajenga electric SGR itakayoondoa synergy!
Kwanza museveni ushaona ameweka hata kambi? Hapa kuna changa la macho , uwezo wa kujenga reli Kenya kwa sasa hawana.
Imezinduliwa April mpaka leo hatuoni hata movement zozote za wakandarasi , sasa subiria bongo kuanzia July utaona mataluma yatakavyoshushwa makutupora kwenda Dodoma , kumbuka tayari wanakambi
 
Nangoja kumsikia akiongea Bungeni hiyo Tar. 05.05.26. Inakaa Tanzania's company r giving all to support him!

View: https://x.com/SokoAnalyst/status/2049714622635069612
 
The same renovation we did at Kasarani is also what you did at Makwapa? Didn't you people changed seats at Makwapa? Didn't you work on the playing surface?

Nenda ukadanganye watoto jinga hii.

Unapicha yoyote ya kufanya renovation ya playing ground?
Shida siku zote ilikuwa blockage na haikufanyiwa renovation mpaka sasa, sasa wewe tuletee pitch ikiwa renovated at mkapa stadium
 
Google una muda huo skybox na luxury ni the same thing buda
So kupata picha ya Skybox ya Makwapa Stadium imekushinda?😂🤣😂

You will never find such a thing in East Africa, only Talanta Stadium have them.
 
Back
Top Bottom