Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,681
- 34,300
Mnaumia Sana na mambo ya electrifying our line. Niwatafutie Ibuprofen?😂😂🤣Haha mara ni ya abiria tu sio mizigo yako wapi
Mnaumia Sana na mambo ya electrifying our line. Niwatafutie Ibuprofen?😂😂🤣Haha mara ni ya abiria tu sio mizigo yako wapi
Nawaangalia tu na ninavyomjua Museveni... he can diplomatically push the buttons in good faith!![]()
Mind u $1 bln for electrification Mombasa-Nairobi-Naiasha then $5 bln Naivasha-Kisumu-Malaba SGR! Hapo bado cost of electric locomotives haijawa factored!
View attachment 3581744
Hapa Tanzania tupo na project kama hizi zaidi ya 20Stadium Construction in Kisumu.
Constructor is already on site.
View attachment 3581755View attachment 3581756View attachment 3581758
Mwambie viwanja vya dizaini hii tumewaachia halmashauri na manispaa , serikali kuu inajenga flagship kama arusha,fumba na Dodoma.Hapa Tanzania tupo na project kama hizi zaidi ya 20
Wakati wengine wanajenga viwanja ambavyo CCM ilijenga miaka ya sabini, Tanzania inasonga mbele.Hapa Tanzania tupo na project kama hizi zaidi ya 20
Sasa tuumie wakati sisi tayari tunayo na hata mkisema mfanye electrification bado hamtaweza compete nasi sababu mtakuwa huge burden deni , imagine total cost itazid 10bil usd kwa 900+ km with a speed of 120km/hr otherwise itabidi mrekebishe Tena curves ili muendane nasi.Mnaumia Sana na mambo ya electrifying our line. Niwatafutie Ibuprofen?😂😂🤣
Wewe Forex Scammer sasa hizi ni nini unatuwekea hapa?😂🤣Wakati wengine wanajenga viwanja ambavyo CCM ilijenga miaka ya sabini, Tanzania inasonga mbele.
View attachment 3581824
View attachment 3581827
Atleast wanatakuwa na viwanja vitatu ambavyo ni vya kisasa , wakifanikiwa kufikia cat 4 watakuwa na uwezo wa kuhost international matches nyingi kuliko nyinyi.Kuna watu waliinsist ATI kuna Skyboxes in Hoima Stadium, here is the layout of the stadium. Ziko wapi?😂😂🤣👇👇
View attachment 3581830
Ziko wapi? Ama kwa ndoto?Hapa Tanzania tupo na project kama hizi zaidi ya 20
Na hapo kinamilikiwa na manispaa tu sio serikali kuu, wao counties hazina hata uwezo wa kujenga robo ya kiwanja kama hikiWakati wengine wanajenga viwanja ambavyo CCM ilijenga miaka ya sabini, Tanzania inasonga mbele.
View attachment 3581824
View attachment 3581827
Hata mpigie kelele aje Finals and Opening matches ni Kenya.Atleast wanatakiwa na viwanja vitatu ambavyo ni vya kisasa , wakifanikiwa kufikia cat 4 watakuwa na uwezo wa kuhost international matches nyingi kuliko nyinyi.
Nyinyi kasarani tu mpaka sasa mkandarasi amepunguza speed sababu haimlipi , nyayo ndo kashakimbia kabisa site.
Eti finals na opening , mpewe kwa kigezo kipi , hivi hiyo talanta mpaka sasa view ya ndani ishazidowa na mkapa stadium ,hapo bado hatujafanya external renovation nakufanya improvement ya skyboxes .Hata mpigie kelele aje Finals and Opening matches ni Kenya.
Na utakuta Gharama wanazojengea ni gharama ambayo unaweza jengea viwanja viwili vizuri na chenchi ikabaki. 😂😂😂Na hapo kinamilikiwa na manispaa tu sio serikali kuu, wao counties hazina hata uwezo wa kujenga robo ya kiwanja kama hiki
Hizo takataka mnapost linganisheni na Garissa😂😂🤣👇👇
View: https://youtube.com/shorts/Uwmif8uVLaA?si=W58ya7Saq-9iY9pQ