Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnaumia Sana na mambo ya electrifying our line. Niwatafutie Ibuprofen?😂😂🤣
Sasa tuumie wakati sisi tayari tunayo na hata mkisema mfanye electrification bado hamtaweza compete nasi sababu mtakuwa huge burden deni , imagine total cost itazid 10bil usd kwa 900+ km with a speed of 120km/hr otherwise itabidi mrekebishe Tena curves ili muendane nasi.
Sisi 2400km kwa 10bil usd full electric na itakuwa karibu na border karibia 3 za nchi tatu , Rwanda ,Uganda nq huku burundi ikienda kabisa mpaka mpakani mwa Kongo.
 
Kuna watu waliinsist ATI kuna Skyboxes in Hoima Stadium, here is the layout of the stadium. Ziko wapi?😂😂🤣👇👇

View attachment 3581830
Atleast wanatakuwa na viwanja vitatu ambavyo ni vya kisasa , wakifanikiwa kufikia cat 4 watakuwa na uwezo wa kuhost international matches nyingi kuliko nyinyi.
Nyinyi kasarani tu mpaka sasa mkandarasi amepunguza speed sababu haimlipi , nyayo ndo kashakimbia kabisa site.
 
Atleast wanatakiwa na viwanja vitatu ambavyo ni vya kisasa , wakifanikiwa kufikia cat 4 watakuwa na uwezo wa kuhost international matches nyingi kuliko nyinyi.
Nyinyi kasarani tu mpaka sasa mkandarasi amepunguza speed sababu haimlipi , nyayo ndo kashakimbia kabisa site.
Hata mpigie kelele aje Finals and Opening matches ni Kenya.
 
Hata mpigie kelele aje Finals and Opening matches ni Kenya.
Eti finals na opening , mpewe kwa kigezo kipi , hivi hiyo talanta mpaka sasa view ya ndani ishazidowa na mkapa stadium ,hapo bado hatujafanya external renovation nakufanya improvement ya skyboxes .
Mark my words final benjamini opening itakuwa Uganda au vice versa then nyinyi mshindi wa tatu.
Hakuna atayeleta final Nairobi kipindi Cha uchaguzi
 
Na hapo kinamilikiwa na manispaa tu sio serikali kuu, wao counties hazina hata uwezo wa kujenga robo ya kiwanja kama hiki
Na utakuta Gharama wanazojengea ni gharama ambayo unaweza jengea viwanja viwili vizuri na chenchi ikabaki. 😂😂😂
Wakunya ni wajinga.
 
Hizo takataka mnapost linganisheni na Garissa😂😂🤣👇👇

View: https://youtube.com/shorts/Uwmif8uVLaA?si=W58ya7Saq-9iY9pQ

📌📌📌🔨🔨 Bado hujasema Hadi useme 👇 👇

View: https://www.instagram.com/p/DXv8iYdiMIV/?igsh=eTRhNnJ4ZTNwdXow
Screenshot_20260430-122200.jpg
 
Eti finals na opening , mpewe kwa kigezo kipi , hivi hiyo talanta mpaka sasa view ya ndani ishazidowa na mkapa stadium ,hapo bado hatujafanya external renovation nakufanya improvement ya skyboxes .
Mark my words final benjamini opening itakuwa Uganda au vice versa then nyinyi mshindi wa tatu.
Hakuna atayeleta final Nairobi kipindi Cha uchaguzi
Finals and Opening at Talanta Stadium. SF and QF Uganda, Tanzania trainings.
 
Watanzania wanataka kulamisha their stadiums to have Skyboxes.

The skyboxes 🤣😂😂👇👇

1000248217.jpg
1000248256.jpg
 
Back
Top Bottom