Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkandarasi wa Reli hiyo ni nani? Site ameshakabidhiwa? Kwa gharama gani na chanzo Cha mapato ni wapi nywele ngumu?
Walete vitu kama hivi
Screenshot_20260429-170321~2.jpg
Screenshot_20260429-170502~2.jpg
Screenshot_20260429-170502.png
 
Attachments

Wewe nyamwezi stop worrying about Naivasha-Malaba railway. That's done and dusted.

Kwa sasa tuko kwenye harakati ya kuwekwa umeme kwenye sgr yetu
Kwani mnahela ya kufanya upgrade?
Vipi electric train si mlisema hazifai kwa mizigo 🤣🤣🤣🤣
Anyway tushawazoe 😭😭😭😭
tunafurahi kuwaona mkifanya upgrade ila esia yenu haisemi popote kuhusu electric train
Screenshot_20260429-172935~2.jpg

Kwahiyo mkimaliza na ya malaba ambayo inaendelea kuwa jointed tracks mta upgrade Tena kwenda kuwa ya umeme
 
sasa those hazina ela, kwa mfano ukishinda marathon thats a personal achievement rather than a national achievement, For example if you win AFCON thats like 500 new people on the world stage

Your talking of coaches, players, media, health(Doctors inside the field), security ... the list Goes on! Alafu marathon glory ni ya siku moja, if you win Gold medal that fame roughly goes for a week imeisha, But football its generational

For example we know AFCON winners since the 90's and the list goes on, also Football is the biggest sports on Earth nothing comes close to football
Fika world cup ndio utupigie kelele hapa ,
Vile unaongea mtu anaweza Dhani Tanzania is Senegal or Egypt kumbe ni level Moja na Burundi Uganda!!!
Bure kabisa
 
Hapa tuko kwenye system of governance, kama nyinyi mko na counties na sisi tuko na regions.
Hata hivyo ukiangalia the largest counties na provinces ndo less productive.
Anyway hapa sijafanya comparison ya nchi nzima nimechukua mfano wa dar ambayo kwenu ni kama county moja versus Nairobi .
Nairobi Inasemekana Ina gdp kubwa ikiwa na maana itakuwa inazalisha sana kuliko dar , lakini kwanini ikija kwenye osr inaoneka Iko nyuma sana ya dar ?
Kwahiyo hiyo gdp ya Nairobi inapatikanaje kama zile economic activities kwa ngazi ya local government zinaonekana ziko chini.

Hata tukisema tuchukue county zinazolingana kwa ukubwa na region zs Tanzania bado mko nyuma .
Mfano tukichukua turkana yenye 98,000 SQkm versus tabora yenye 76,000 SQkm, bado hiyo turkana yenu Iko nyuma tu.
Acha visingizio vya ukubwa .
Tanzania Iko na regions 31 zikiwemo za Zanzibar halafu 38% of the landmass ni conservation .
Non conserved land in Tanzania ni 540,000 SQkm na Kenya ni 490,000 SQkm.
Hakuna difference yoyote hapo
Osr ndio nini? Show us proof that Dar generates more than Nairobi sio unajitungia story alafu unajijazia. Halafu ukubwa wa county ama province ni population sio land mass maanake kawaida zile country subdivisions zenye eneo kubwa huwa na uzalishaji mdogo kisa population density huwa sparse. Nikitumia hii akili yako nitasema Canada ni nchi kubwa kuliko India ama Angola ni kubwa kuliko Nigeria. Kwa mfano, Kenya Turkana ndio kubwa kieneo, kwa uchumi ndio maskini zaidi. Mombasa ndio ndogo kieneo ila kwa uzalishaji iko miongoni mwa za kwanza. Tabora ina eneo la 76000 sq. km ila population yake ni 3,391,679 - which bigger than all Kenyan counties except Nairobi. Turkana ina 98k sq. km ila population yake ni 997,976. Utakuwa huna akili kulinganisha uzalishaji wa watu 3,391,679 na wa watu 997,976. Chukua County za Kenya mbili ambazo ukiunganisha zinafikia takriban population ya Tabora alafu linganishe uchumi. Kwa mfano: -
1. Kiambu County (2,417,735) + Murang'a County (1,056,640) = 3,474,375
2. Kakamega County (1,867,579) + Uasin Gishu County (1,163,186) = 3,030,765
3. Mombasa County (1,190,987) + Nakuru County (2,162,202) = 3,358,189

Hizo ni mifano tu nimekupa. Unganisha hizo Counties alafu uniambie kama Tabora inaweza zifikia kiuchumi.
 
Ngoja tuone hapo June endeleeni kujititimua! The wave is unavoidable! mara maize kutoka Zambia mara umeme kutoka Ethiopia mara gas kutoka Mozambique! As long as Museveni yupo upande wetu Ukunduni hamtoboi!
Mbona sijawai ona Mkenya akilalamika ati ooh, Tanzania wamekataa kutuuzia bidhaa ila kila mwaka lazima nione Watanzania wakilalamika ati ooh, Kenya wamenunua kula badala ya kununua kwetu? 🤣 🤣 🤣
 
Osr ndio nini? Show us proof that Dar generates more than Nairobi sio unajitungia story alafu unajijazia. Halafu ukubwa wa county ama province ni population sio land mass maanake kawaida zile country subdivisions zenye eneo kubwa huwa na uzalishaji mdogo kisa population density huwa sparse. Nikitumia hii akili yako nitasema Canda ni nchi kubwa kuliko India ama Angola ni kubwa kuliko Nigeria. Kwa mfano, Kenya Turkana ndio kubwa kieneo, kwa uchumi ndio maskini zaidi. Mombasa ndio ndogo kieneo ila kwa uzalishaji iko miongoni mwa za kwanza. Tabora ina eneo la 76000 sq. km ila population yake ni 3,391,679 - which bigger than all Kenyan counties except Nairobi. Turkana ina 98k sq. km ila population yake ni 997,976. Utakuwa huna akili kulinganisha uzalishaji wa watu 3,391,679 na wa watu 997,976. Chukua County za Kenya mbili ambazo ukiunganisha zinafikia takriban population ya Tabora alafu linganishe uchumi. Kwa mfano: -
1. Kiambu County (2,417,735) + Murang'a County (1,056,640) = 3,474,375
2. Kakamega County (1,867,579) + Uasin Gishu County (1,163,186) = 3,030,765
3. Mombasa County (1,190,987) + Nakuru County (2,162,202) = 3,358,189

Hizo ni mifano tu nimekupa. Unganisha hizo Counties alafu uniambia kama Tabora inaweza zifikia kiuchumi.

Unaona ushabadilisha ,
Point uliyoleta ni ukubwa wa eneo versus revenue haikuwa population versus revenue .
Hapa tunaongelea administrative areas , mfano kwa Kenya mko na county sisi tuko na regions , huwez lazimisha tuunganishe regions mbili ili kufidia revenue yenu.
Kwa point ya hapo juu, dhahiri unakubali maendeleo Kenya yako concentrated kwenye maeneo machache tu wakati Tanzania maendeleo yanasambazwa kona zote.
 
Osr ndio nini? Show us proof that Dar generates more than Nairobi sio unajitungia story alafu unajijazia. Halafu ukubwa wa county ama province ni population sio land mass maanake kawaida zile country subdivisions zenye eneo kubwa huwa na uzalishaji mdogo kisa population density huwa sparse. Nikitumia hii akili yako nitasema Canada ni nchi kubwa kuliko India ama Angola ni kubwa kuliko Nigeria. Kwa mfano, Kenya Turkana ndio kubwa kieneo, kwa uchumi ndio maskini zaidi. Mombasa ndio ndogo kieneo ila kwa uzalishaji iko miongoni mwa za kwanza. Tabora ina eneo la 76000 sq. km ila population yake ni 3,391,679 - which bigger than all Kenyan counties except Nairobi. Turkana ina 98k sq. km ila population yake ni 997,976. Utakuwa huna akili kulinganisha uzalishaji wa watu 3,391,679 na wa watu 997,976. Chukua County za Kenya mbili ambazo ukiunganisha zinafikia takriban population ya Tabora alafu linganishe uchumi. Kwa mfano: -
1. Kiambu County (2,417,735) + Murang'a County (1,056,640) = 3,474,375
2. Kakamega County (1,867,579) + Uasin Gishu County (1,163,186) = 3,030,765
3. Mombasa County (1,190,987) + Nakuru County (2,162,202) = 3,358,189

Hizo ni mifano tu nimekupa. Unganisha hizo Counties alafu uniambie kama Tabora inaweza zifikia kiuchumi.
Kwani administrative area inajali population?
Kama ni wajir au mandera lazima system ya governance itakuwa sawa na Nairobi na haitajali kuwa Nairobi ndo Iko populated otherwise utuambie kuwa Nairobi sababu Ina population kubwa basi itakuwa na governor wengi kuliko mandera au wajir.
Hivyohivyo kwa Tanzania regions zote system ya governance ni sawa , kuwa mkoa unakuwa chini ya regional commissioner na kunakuwa regional administrative secretary, then decentralization into districts.😭😭
 
Constructor is already on site at Moi Stadium Kisumu. There's a visible ongoing work.

1000257369.jpg
1000257370.jpg
1000257372.jpg
1000257371.jpg
 
Unaona ushabadilisha ,
Point uliyoleta ni ukubwa wa eneo versus revenue haikuwa population versus revenue .
Hapa tunaongelea administrative areas , mfano kwa Kenya mko na county sisi tuko na regions , huwez lazimisha tuunganishe regions mbili ili kufidia revenue yenu.
Ebu nionyeshe nilipoandika ukubwa wa eneo ndio tuendelee na mjadala.

Kwa point ya hapo juu, dhahiri unakubali maendeleo Kenya yako concentrated kwenye maeneo machache tu wakati Tanzania maendeleo yanasambazwa kona zote.
Anaye badilisha mjadala ni wewe na hii hapa ni proof.
 
Ebu nionyeshe nilipoandika ukubwa wa eneo ndio tuendelee na mjadala.

Anaye badilisha mjadala ni wewe na hii hapa ni proof.
Jamaa huwa anabadilika akishapatwa😂😂.

I'm still waiting for him to post an evidence that Dar collects more OSR than Nairobi which he was claiming in the morning.
 
Back
Top Bottom