Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kusombwa na maji sio lazima ianguke, it affected the structural ability, no wonder hio sikua safari zilisimamishwa.
Ukisomba kitu inamanisha unakibba na kuhamisha kwenda sehemu nyingine , sasa mbona hizo viaduct hazijahama 🤣🤣🤣
Na uzuri umesema viaduct, haya kama zilipoteza nguvu leta picha walifanya replacement ya viaduct zingine nzito kustabilize zile zilizokosa nguvu! 🤣🤣🤣
Kumbe ukisomba kitu hakihami? Hehe kwani elimu yenu mnaipataje
Screenshot_20260430-135015~2.jpg
 
Back
Top Bottom