Habari mbaya kwa kenge wa north hii.
Ni rasmi Sasa TZ Ina uhakika wa asilimia 100, Treni ya kisasa ya Umeme inatoka Dar Hadi Mwanza na kipande Cha kwenda Kigoma Hadi Burundi vinajengwa na mkandarasi yupo site na fedha za ujenzi ni uhakika zipoo.
Wakati kenge bado hawajaweza kujua wanakwenda Malaba lini baada ya China Kigoma kutoa fedha.. wamekbilia Citi Bank ya USA bado mambo magumu na Sasa wana plan ya kuwapigia magoti waarabu wawapatie mkopo .
Tanzania Corridor ndio Hub ya logistics ukanda huu kwa Sasa. Hakuna mpinzani tena... Tutaendela kushuhudia kelele za maumivu sana kutoka kwa kenge hawa.