Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kibra Affordable housing entering phase two. Sasa watanzania watabaki na Nini ya kutusi Kenya slums zote zikimalizwa 😂😂
IMG_8050.jpeg
IMG_8051.jpeg
IMG_8052.jpeg
 
Tanzania has been taking off since 1932 lakini Hadi WA Leo there's nothing to show.
Hao ni Wagaga-gigi-koko wenzenu huko Kenya wakilumbana kama rais wenu anavyopayuko kama mlevi kuhusu refinery project ya Tanga.
Ushawahi sikia Tanzanian government official hata akigusia? Ni president wenu kila akishoboka.
 
Gdp mara nyingi Ina include matumizi ya serikali na sector binafsi, kama vile mishahara na kadhalika.
Kenya serikali inakopa sana kutimiliza miradi na sometimes mishahara na bado hata project zao Zinakuwq inflated hivyo inaonekana wanazalisha sana wakati ni wastani.
Mfano wanaanza ujenzi wa sgr kwenda malaba na bajeti ni 500ksh sawa usd 3.8bil au 13mil kwa km ila bongo tunajenga km2100 kwa usd 10bil sawa na 4.5mil/ km.
Tukija kwa hesabu itaonekana wamejenga sana au wanazalisha sana wakati kiuhalisia wamezidiwa ujenzi na bongo.
Nadhani ilipaswa kuangalia mapato ya ndani kwa counties versus mikoa ya tz .
Dar Ina gdp ya 37bil usd wakati Nairobi Iko kwenye 70+ , ila kwa sasa mapato kwa manispaa zote za dar ni zaidi ya bil 400 kwa mwaka au 20bil ksh .
Nairobi pamoja na gdp yake kubwa bado Wana osr ya 15bil ksh
Tanzania Ina mikoa 26, Kenya Ina counties 47. Mikoa ya Tanzania Ni mikubwa Na population kubwa kuliko counties za Kenya. Sasa wewe ukilinganisha mikoa vs counties Badala YA nchi nzima utakuwa ukijitekenya ukicheka Mwenye we manake Ni Kama kulinganisha uzalishaji wa watu wawili Vumbistan vs mtu mmoja Kenya.
 
Hapa tuko kwenye system of governance, kama nyinyi mko na counties na sisi tuko na regions.
Hata hivyo ukiangalia the largest counties na provinces ndo less productive.
Anyway hapa sijafanya comparison ya nchi nzima nimechukua mfano wa dar ambayo kwenu ni kama county moja versus Nairobi .
Nairobi Inasemekana Ina gdp kubwa ikiwa na maana itakuwa inazalisha sana kuliko dar , lakini kwanini ikija kwenye osr inaoneka Iko nyuma sana ya dar ?
Kwahiyo hiyo gdp ya Nairobi inapatikanaje kama zile economic activities kwa ngazi ya local government zinaonekana ziko chini.

Hata tukisema tuchukue county zinazolingana kwa ukubwa na region zs Tanzania bado mko nyuma .
Mfano tukichukua turkana yenye 98,000 SQkm versus tabora yenye 76,000 SQkm, bado hiyo turkana yenu Iko nyuma tu.
Acha visingizio vya ukubwa .
Tanzania Iko na regions 31 zikiwemo za Zanzibar halafu 38% of the landmass ni conservation .
Non conserved land in Tanzania ni 540,000 SQkm na Kenya ni 490,000 SQkm.
Hakuna difference yoyote hapo
 
Has someone ever told you how foolish you are? OSR za Nairobi is only from Parking fees, land rates, advertisement, water and garbage collection.

No industry pay their taxes to any county government, all taxes are paid to national government. Huko kwenu mnachukua taxes zote plus parking mnawekea Dar.
 
Back
Top Bottom