Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,674
- 107,110
huwa wanadai tunawa-hate utawapata online wakipiga njuru!Sasa ingekuwa ni mtanzania ndo kawafanyia hivyo , ungesikia kelele dunia nzima
Westlands, a district in London ya watanzania.
View attachment 3581079
Hivi unajua serikali inakula hela nyingi sana kuliko hata hao wawekezaji.muhimu ni kuboresha mifumo ya ukusanyaji tu.Lait hizi kg zadhahabu zingekuwa zetu na kuziuza wenyewe.
Nini shida?
Hili jengo mbona haliisho lipo miaka nenda miaka rudi?this ish can only be found in Tanzania. This one is a town in Tz. 👇🏾 moshi town.. mind you, these pictures are just showing half of the town View attachment 3580852View attachment 3580853View attachment 3580856while this is a city in the same country.. Mbeya city 👇🏾View attachment 3580857View attachment 3580858😂😂😂 Dah. Kama si sababu za kisiasa, ni sababu zipi zinazoipa hadhi Mbeya kuwa jiii.? President of China. Kulingana na vigezo alivyoleta jamaa zetu wa mbeya.?