Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,175
- 107,756
mnaleta uchawi kwa kanisa! Nani yupo mbaya zaidi?Is this football? Mnaleta uchawi kwa mpira. No wonder you can't develop.
mnaleta uchawi kwa kanisa! Nani yupo mbaya zaidi?Is this football? Mnaleta uchawi kwa mpira. No wonder you can't develop.
Vimji vya kenya bhana 😂😂
Kanisa is a spiritual event same to uchawi. Now tells us how football and witchcraft relate.mnaleta uchawi kwa kanisa! Nani yupo mbaya zaidi?
Nenda kwenye Facebook yako futa hizi picha. 😂😂😂Endelea kuteseka mnyamwezi. Identify yangu itakusumbua akili hadi uchoke
Unaambiwa huo mji ikifika saa mbili usiku kila mtu ashajifungia ndani. 😂😂😂Vimji vya kenya bhana 😂😂
Arusha kama sio Africa. Wale watakaokua wanaenda kuangalia Mbungi la Afcon watatumia barabara hii 👇🏾View attachment 3581251.. 👇🏾
View: https://vt.tiktok.com/ZS9D38GCP/.
Leta data Buda hatutaki maneno?But the last time I checked Nairobi collected More.
Arusha tamu sana.Kuna mbwa wanapiga kelele wasijue location ina tourism touch!
Ngoja tuone hapo June endeleeni kujititimua! The wave is unavoidable! mara maize kutoka Zambia mara umeme kutoka Ethiopia mara gas kutoka Mozambique! As long as Museveni yupo upande wetu Ukunduni hamtoboi!Tukinunua kwenu, mnasema tunawategemea. Eti mnatishia tutakavyoumia mkikataa kutuuzia. Tukinunua kwengine mnanuna. Enyewe Kenya ndio kusema hii region.🤣🤣
Huu ni mwaka wa ngapi ukisumbuka? Wa tatu kama sijakoseaNenda kwenye Facebook yako futa hizi picha. 😂😂😂
View attachment 3581259
Wewe unaishi dunia gani nyamwezi,?Habari mbaya kwa kenge wa north hii.
Ni rasmi Sasa TZ Ina uhakika wa asilimia 100, Treni ya kisasa ya Umeme inatoka Dar Hadi Mwanza na kipande Cha kwenda Kigoma Hadi Burundi vinajengwa na mkandarasi yupo site na fedha za ujenzi ni uhakika zipoo.
Wakati kenge bado hawajaweza kujua wanakwenda Malaba lini baada ya China Kigoma kutoa fedha.. wamekbilia Citi Bank ya USA bado mambo magumu na Sasa wana plan ya kuwapigia magoti waarabu wawapatie mkopo .
Tanzania Corridor ndio Hub ya logistics ukanda huu kwa Sasa. Hakuna mpinzani tena... Tutaendela kushuhudia kelele za maumivu sana kutoka kwa kenge hawa.
si unajua mwaka ujao kuna uchaguziHuyu Ruto mbona anaongea sana kama mlevi?
Project ijengwe kwetu aongee sana yeye 🙄
huo mstari una shida gan apo, ama ni GoonNenda kwenye Facebook yako futa hizi picha. 😂😂😂
View attachment 3581259